Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole amesema CHADEMA imemdhulumu msanii TID kwa kutumia kauli ya "Ni Yeye" bila kumuomba wala kumshirikisha.
“Ni Yeye ilikuwa ya Magufuli, wale majamaa wameichomeka kule hawajamshirikisha kwa kweli sisi Watanzania tutawachukulia hatua." amesema Polepole.
Ikumbukwe hapo jana Msanii wa Bongo Fleva, TID amedai kuwa msemo wake 'NI YEYE' umechukuliwa na CHADEMA bila ridhaa yake kitu kinachomuumiza sana.
Kutokana na hilo, ameiomba serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kumsaidia ili kupata haki yake.
"Kiukweli leo nimehuzunika sana, like how come mimi niumize kichwa na my creative thinking, niandae kitu nikiwa naibua vipaji Uni Talent Show kama Judge alafu chama kabisa kina kuja ku overshadow my program kwa sababu za kisiasa! Huu ubabe utaisha lini?
#NiYeye is my idea," ameeleza TID.
--
NINI MAONI YAKO
NAWASILISHA