Uchaguzi 2020 Humphrey Polepole: CHADEMA wamemdhulumu TID, asema 'Ni Yeye' ilikuwa ya Rais Magufuli

Magufuli 2015 alivhukua M4C na mabadiriko kutesa kwa zamu
 
hilo bwia unga hata wimbo wa NYOTA YAKO sio wake....ni jizi,huni la kutupwa.
 
Hivi ninasoma nin?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole amesema CHADEMA imemdhulumu msanii TID kwa kutumia kauli ya "Ni Yeye" bila kumuomba wala kumshirikisha.

“Ni Yeye ilikuwa ya Magufuli, wale majamaa wameichomeka kule hawajamshirikisha kwa kweli sisi Watanzania tutawachukulia hatua." amesema Polepole.

Ikumbukwe hapo jana Msanii wa Bongo Fleva, TID amedai kuwa msemo wake 'NI YEYE' umechukuliwa na CHADEMA bila ridhaa yake kitu kinachomuumiza sana.

Kutokana na hilo, ameiomba serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kumsaidia ili kupata haki yake.

"Kiukweli leo nimehuzunika sana, like how come mimi niumize kichwa na my creative thinking, niandae kitu nikiwa naibua vipaji Uni Talent Show kama Judge alafu chama kabisa kina kuja ku overshadow my program kwa sababu za kisiasa! Huu ubabe utaisha lini?

#NiYeye is my idea," ameeleza TID.

--
NINI MAONI YAKO

NAWASILISHA
Kumbe Chakubanga ni mpuuzi kiasi hiki!!!
 
Wakuu,
Naomba usikilizeni huu wimbo halafu tujadili kama anachodai TID ni kweli au anatumika. Huu wimbo kwenye hii link ni wa zamani sana. Tangu akina sisi ni watoto! sasa yeye leo anajimilikisha 'Ni yeye'. Mbona mtu mzima anajivua nguo!

Ngada zimeshamharibu ubongo wamuwahishe sober house Kabala hazijamuua kabisa
 
Kamwambie polepole asisahau dhuluma iliyofanywa na magufuli kwa kuiita M4C.
 
Wakuu,
Naomba usikilizeni huu wimbo halafu tujadili kama anachodai TID ni kweli au anatumika. Huu wimbo kwenye hii link ni wa zamani sana. Tangu akina sisi ni watoto! sasa yeye leo anajimilikisha 'Ni yeye'. Mbona mtu mzima anajivua nguo!

Huyo TID atakuwa na matatizo ya akili, huo wimbo ni wa tokea mwaka 2014

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • Screenshot_20200809-105120.png
    Screenshot_20200809-105120.png
    54.1 KB · Views: 2
Back
Top Bottom