Uchaguzi 2020 Humphrey Polepole: CHADEMA wamemdhulumu TID, asema 'Ni Yeye' ilikuwa ya Rais Magufuli

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole amesema CHADEMA imemdhulumu msanii TID kwa kutumia kauli ya "Ni Yeye" bila kumuomba wala kumshirikisha.

“Ni Yeye ilikuwa ya Magufuli, wale majamaa wameichomeka kule hawajamshirikisha kwa kweli sisi Watanzania tutawachukulia hatua." amesema Polepole.

Ikumbukwe hapo jana Msanii wa Bongo Fleva, TID amedai kuwa msemo wake 'NI YEYE' umechukuliwa na CHADEMA bila ridhaa yake kitu kinachomuumiza sana.

Kutokana na hilo, ameiomba serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kumsaidia ili kupata haki yake.

"Kiukweli leo nimehuzunika sana, like how come mimi niumize kichwa na my creative thinking, niandae kitu nikiwa naibua vipaji Uni Talent Show kama Judge alafu chama kabisa kina kuja ku overshadow my program kwa sababu za kisiasa! Huu ubabe utaisha lini?

#NiYeye is my idea," ameeleza TID.

--
NINI MAONI YAKO

NAWASILISHA
Ester wasira kaimba Magufuli Mwamba wakati tunajua Mwamba ni Mbowe!
 
Huyu polepole ni mweupe kabisa, katibu mwenezi kuitisha press afu unaongea vitu ambavyo hata Dr shika hawezi 😂, suala la Tid kwenye mkutano wake ni la Nini?? Yeye ni Nani mpaka aikemee chadema?, Kukosekana kwa Nape na Makamba Jr hakika hili ni pingo kwa mbogamboga.
 
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole amesema CHADEMA imemdhulumu msanii TID kwa kutumia kauli ya "Ni Yeye" bila kumuomba wala kumshirikisha.

“Ni Yeye ilikuwa ya Magufuli, wale majamaa wameichomeka kule hawajamshirikisha kwa kweli sisi Watanzania tutawachukulia hatua." amesema Polepole.

Ikumbukwe hapo jana Msanii wa Bongo Fleva, TID amedai kuwa msemo wake 'NI YEYE' umechukuliwa na CHADEMA bila ridhaa yake kitu kinachomuumiza sana.

Kutokana na hilo, ameiomba serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kumsaidia ili kupata haki yake.

"Kiukweli leo nimehuzunika sana, like how come mimi niumize kichwa na my creative thinking, niandae kitu nikiwa naibua vipaji Uni Talent Show kama Judge alafu chama kabisa kina kuja ku overshadow my program kwa sababu za kisiasa! Huu ubabe utaisha lini?

#NiYeye is my idea," ameeleza TID.

--
NINI MAONI YAKO

NAWASILISHA
Uyo Teja nae ni CCM? Kweli CCM inakila aina ya takataka
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Kabisa najua vikao huko kwao vinaendelea usiku na mchana kuhusu Lissu kwa jinsi anavyowapeleka puta.
Halafu upepo wa siasa umebadilika sana, wana hofu kuu kwa kweli, mpaka mkuu wa nchi anakula mahindi ya kuchoma hadharani, sio mchezo
 
😂😂😂😂😂 nimeiona hiyo picha nikashangaa sana.

Halafu upepo wa siasa umebadilika sana, wana hofu kuu kwa kweli, mpaka mkuu wa nchi anakula mahindi ya kuchoma hadharani, sio mchezo
 
Zamani wakisema wapinzani wanaongelea matukio tu hawana sera. Naona juma hili Polepole naye anaongelea matukio ya Lissu tu!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeiona hiyo picha nikashangaa sana.
That is real definition of stress[emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Kwani magufuli si aliwaambia peoples kaeni nayo hiyo power wampe
Daah sina mbavuuu[emoji23][emoji23][emoji23], kwa hiyo magu haelewi kwamba people ndio power yenyewe au anajua power inatoka kwa mbuziii

People ndo wanaokupa power
 
Ndio hivyo tena[emoji2]
 
Kujimwambafy kwa kula mahindi ya kuchoma barabarani 🤣🤣

2477623_Eep25s5X0AA5Cvt.jpg

That is real definition of stress[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahahaha that’s the beauty of JF school, you ALWAYS need to support your arguments with concrete evidence otherwise it is FAKE NEWS 😜😜😜

[emoji23][emoji23][emoji23] you always have evidence

Shukrani sana
 
Back
Top Bottom