Uchaguzi 2020 Humphrey Polepole: CHADEMA wamemdhulumu TID, asema 'Ni Yeye' ilikuwa ya Rais Magufuli

😅 Ila siasa mbaya sana jamani, huyu jamaa alikuwa mwenye akili na kujielewa sana, ona sasa anavyojitoa akili.




Let's meet at the top, cheers 🥂
Eti polepole anaweza akamjbu Lissu! Tuache utani,CCM imefilisika hivi hadi inatumia watu uchwara kujibu hoja za mateja kama T.I.D
 
CCM oyeeee
 
TID na Pole pole wanafanana tu, tofauti kidogo iliyopo ni kuwa mmoja kipara ndio kimeanza kuota, ila mwingine amekuwa akikificha kwa kunyoa zungu miaka nenda rudi!
Ila wote makazi yao ni sober...!
 
#Ni yeye#
Yaani hili ndo neno la Katibu mwenezi kuitisha Press kuliongelea?
CHADEMA waachieni CCM hiyo kauli tumieni "Usiyempenda Kaja"
 
Yani Lissu kaleta amsha amsha kwenye ulimwengu wa siasa jamani nyie! halafu mimi ninacholipendea Lissu yani haliogopi mtu.

Dah I love you Lissu
Nadhani siku moja ataandikwa katika vitabu na atakuja kutajwa kama
"The national Father for democracy"
 
Eti polepole anaweza akamjbu Lissu! Tuache utani,CCM imefilisika hivi hadi inatumia watu uchwara kujibu hoja za mateja kama T.I.D
Haha labda yule wa warioba sio kwa H.P huyu utopolo mtupu 😅



Let's meet at the top, cheers 🥂
 
Polepole sijui kama akili zake zipo sawasawa
 
Taifa limejaa matakataka Kila Kona kmmke
 
Ana hati miliki? Kwanini anashindwa kuiweka hadharani? Isije kuwa huyo Chakubanga AMEKURUPUKA TU!

Jameni yote haya ni katika KUWEWESEKA KWA CCM...?!!
Kishindo Cha Wagombea toka Upinzani kumewachanganya Mafisccm wa Lumumba na Jiwe wao....!!!
Huku MEMBE, huku TUNDU LISSU na kule MAALIM SEIF, yaani ni 🔥 kila upande...!!!
Yaani Mambo ni 🔥🤣🤣
 
Ukiachia vijembe na mipasho aliyoitoa leo kwenye press conference hakuna cha zaidi alichokifanya
 
Eti polepole anaweza akamjbu Lissu! Tuache utani,CCM imefilisika hivi hadi inatumia watu uchwara kujibu hoja za mateja kama T.I.D
Subiri kampeni zianze ndio utaona wanavyokata pumzi. Miaka 5 yote wanaongelea viwanda (ambavyo havipo), stigilaz, na SGR hadi tumezoea. Tunataka kusikia kwa waliozibwa midomo kwa miaka hiyo 5. Ngoja tarehe 28 Aug wawaondolee plasta walizozibwa midomo tuwasikie. Polepole na genge lake watakuwa hawana jipya.
 
Yamesahau kwamba yenyewe yamelifanya jeshi la polisi kuwa la ccm, rejea matamshi ya afande Shana arusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…