Nimecheka sana miaka mitano hajawahi kula mahindi Leo ameyala aiseeHalafu upepo wa siasa umebadilika sana, wana hofu kuu kwa kweli, mpaka mkuu wa nchi anakula mahindi ya kuchoma hadharani, sio mchezo
Mkuu sio matakwa Yao Lissu ni habari nyingine.Zamani wakisema wapinzani wanaongelea matukio tu hawana sera. Naona juma hili Polepole naye anaongelea matukio ya Lissu tu!
Uyo Teja nae ni CCM? Kweli CCM inakila aina ya takataka
Dada naona unawashwa sana nicheki PM ni tupange jinsi ya kumaliza hitaji la moyo wako.Ahsante baby,,"mwaaa"
M4C- MOVEMENT FOR CHANGE - ILIBADILISHWA NA KUWA MAGUFULI FOR CHANGE 😁😁😁Tunapoelekea hata peoples' power watasema ni ya Magufuli
Kumbe Chakubanga ni mpuuzi kiasi hiki!!!Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole amesema CHADEMA imemdhulumu msanii TID kwa kutumia kauli ya "Ni Yeye" bila kumuomba wala kumshirikisha.
“Ni Yeye ilikuwa ya Magufuli, wale majamaa wameichomeka kule hawajamshirikisha kwa kweli sisi Watanzania tutawachukulia hatua." amesema Polepole.
Ikumbukwe hapo jana Msanii wa Bongo Fleva, TID amedai kuwa msemo wake 'NI YEYE' umechukuliwa na CHADEMA bila ridhaa yake kitu kinachomuumiza sana.
Kutokana na hilo, ameiomba serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kumsaidia ili kupata haki yake.
"Kiukweli leo nimehuzunika sana, like how come mimi niumize kichwa na my creative thinking, niandae kitu nikiwa naibua vipaji Uni Talent Show kama Judge alafu chama kabisa kina kuja ku overshadow my program kwa sababu za kisiasa! Huu ubabe utaisha lini?
#NiYeye is my idea," ameeleza TID.
--
NINI MAONI YAKO
NAWASILISHA
Wakuu,Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole amesema CHADEMA imemdhulumu msanii TID kwa kutumia kauli ya "Ni Yeye" bila kumuomba wala kumshirikisha.
“Ni Yeye ilikuwa ya Magufuli, wale majamaa wameichomeka kule hawajamshirikisha kwa kweli sisi Watanzania tutawachukulia hatua." amesema Polepole.
Ikumbukwe hapo jana Msanii wa Bongo Fleva, TID amedai kuwa msemo wake 'NI YEYE' umechukuliwa na CHADEMA bila ridhaa yake kitu kinachomuumiza sana.
Kutokana na hilo, ameiomba serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kumsaidia ili kupata haki yake.
"Kiukweli leo nimehuzunika sana, like how come mimi niumize kichwa na my creative thinking, niandae kitu nikiwa naibua vipaji Uni Talent Show kama Judge alafu chama kabisa kina kuja ku overshadow my program kwa sababu za kisiasa! Huu ubabe utaisha lini?
#NiYeye is my idea," ameeleza TID.
--
NINI MAONI YAKO
NAWASILISHA
Ngada zimeshamharibu ubongo wamuwahishe sober house Kabala hazijamuua kabisaWakuu,
Naomba usikilizeni huu wimbo halafu tujadili kama anachodai TID ni kweli au anatumika. Huu wimbo kwenye hii link ni wa zamani sana. Tangu akina sisi ni watoto! sasa yeye leo anajimilikisha 'Ni yeye'. Mbona mtu mzima anajivua nguo!
Kamwambie polepole asisahau dhuluma iliyofanywa na magufuli kwa kuiita M4C.Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole amesema CHADEMA imemdhulumu msanii TID kwa kutumia kauli ya "Ni Yeye" bila kumuomba wala kumshirikisha.
“Ni Yeye ilikuwa ya Magufuli, wale majamaa wameichomeka kule hawajamshirikisha kwa kweli sisi Watanzania tutawachukulia hatua." amesema Polepole.
Ikumbukwe hapo jana Msanii wa Bongo Fleva, TID amedai kuwa msemo wake 'NI YEYE' umechukuliwa na CHADEMA bila ridhaa yake kitu kinachomuumiza sana.
Kutokana na hilo, ameiomba serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kumsaidia ili kupata haki yake.
"Kiukweli leo nimehuzunika sana, like how come mimi niumize kichwa na my creative thinking, niandae kitu nikiwa naibua vipaji Uni Talent Show kama Judge alafu chama kabisa kina kuja ku overshadow my program kwa sababu za kisiasa! Huu ubabe utaisha lini?
#NiYeye is my idea," ameeleza TID.
--
NINI MAONI YAKO
NAWASILISHA
Hàaaaaa Hàaaaaaa!!!I Love u too baby"Mwaaa,,,"
Huyo TID atakuwa na matatizo ya akili, huo wimbo ni wa tokea mwaka 2014Wakuu,