Uchaguzi 2020 Humphrey Polepole: Dkt. Magufuli atachukua fomu ya Urais 06 Agosti Dodoma. Mwanachama aliyepiga mazonge kwenye kura za maoni atashikishwa adabu

Kamuulize Pascal Mayala walimnyanganya leseni/kibali cha kurusha matangazo kule Sabasaba/Nanenanr mpk alivyoanza kuwalamba miguu,kwa hio hata hao waandishi wanajua sana watakachofanywa na ndio maana pia Mkapa aliwaitaga ni makanjanja.
 
CCM imetoa taarifa kuwa tarehe 15/08/2020 kutakuwa na jambo kubwa sana la kisiasa katika uwanja wa Uhuru.

Tukio hilo litahusisha wasanii wote wa muziki, bongo movie, kandanda, basketball na sanaa nyingine zote.
Bwashee usipange kukosa.

Kuna Jambo Uhuru

Maendeleo hayana vyama!
 
Polepole amenichekesha sana leo hasa alipokuwa anawaambia ukweli chama kilichobadilisha wimbo wa Taifa.
 
Makene aitishe press, pamoja na Mambo mengine pia akiite chama cha mapinduzi ni cha kihuni na viongozi wake ni wahuni. Yaani wakiweka kigingi tunaweka jiwe, wakiweka ugoko tunaweka chuma, tit for tight wataelewa tu.
 
Makene aitishe press, pamoja na Mambo mengine pia akiite chama cha mapinduzi ni cha kihuni na viongozi wake ni wahuni. Yaani wakiweka kigingi tunaweka jiwe, wakiweka ugoko tunaweka chuma, tit for tight wataelewa tu.
Hahah Msajili atatoka huko aliko fasta kumkemea Makene na Chadema.
 
nilikuwa sijui ni kwa nini watu wamempachika huyu jamaa jina la la Chaku.

kumbe sababu yenyewe ndiyo hii!
 
Hujasikia kuhusu mambo ya rushwa?
Sasa Polepole anapata wapi ujasiri wa kukemea rushwa wakati ndani ya Chama chake rushwa imetamalaki kuanzia mashinani mpaka ngazi kuu ya chama!!

Huyo Polepole anatetea ugali wake tu ila CCM haiwezi kukemea rushwa sababu CCM ni rushwa na rushwa ni CCM.

CCM na rushwa ni mapacha wa kufanana ( identical twins).
 
Tufanye siasa lakini tusiguse vitu vinavyotambulisha taifa letu wimbo wa taifa huwa tunaimba tukiwa katikati ya vita, mapigano na ndio kiunganishi chetu kimaombi kati ya taifa letu na Mwenyezi Mungu, waombe radhi Watanzania kwa kuushushia hadhi.
Naunga mkono hoja.
 
Panic mode hivi huyo si muenezi wa chama? au ndio anafanya kazi yake apo LOL!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…