Uchaguzi 2020 Humphrey Polepole: Dkt. Magufuli atachukua fomu ya Urais 06 Agosti Dodoma. Mwanachama aliyepiga mazonge kwenye kura za maoni atashikishwa adabu

Mungu azidi kumbariki mzee Magu,mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni,Magufuli kafanya mambo mengi sana mazuri.
Watanzania tuna imani nae sana tu kwa uongozi wake imara na wenye manufaa kwa taifa la Tanzania.
 
Kwa taarifa nilizopata usiku huu baada ya kuwasili hapa Dodoma ni kwamba Wagombea Uabunge wengi huenda wakafyekelewa mbali licha ya kuongoza kwenye kura za maoni.

Chama kina kila aina ya ushahidi wa vitendo vya rushwa kwa baadhi ya wagombea na wengi hawataamini macho na masikio yao baada ya orodha ya wateule kutoka.

Kesho nitawaletea taarifa rasmi, muda huu acha nipige pasi sare ya chama tayari kwa shughuli ya kesho.

Ni yeye Dr. Magufuli.

Maendeleo hayana vyama!
 
Huu msemo wa ni yeye umeukatia hati miliki?
 
I was surprised this year wajumbe wamekuwa makini saana! Wawape walioshinda tuu ktk siasa za Africa takrima ni kawaida! Unless mnatafuta sababu za kuwapa namba 2,3
 
Hahahaa
 
Ni Yeye chakubanga ameitisha press kusema TID amedhulumiwa? Na wewe umeamua kubaka kabisa. Hadi Oktoba tutaona mengi.
 
Bwashee kuwa muwazi nimesikia baadhi ya vijana wa lumumba mmehamishiwa Dodoma na wewe ni mmoja wapo?
Bwashee mimi niko Iringa kwa shughuli moja tu ya kukomboa jiimpo, hapa ugogoni nimeingia usiku huu kwa ajili ya kumshuhudia......Ni yeye Dr Magufuli akichukua fomu.
 
Bwashee mimi niko Iringa kwa shughuli moja tu ya kukomboa jiimpo, hapa ugogoni nimeingia usiku huu kwa ajili ya kumshuhudia......Ni yeye Dr Magufuli akichukua fomu.
Unalikomboa kutoka kwa nani ?
Maana ninavyojua wagogo hata uweke mti ugombee kupitia Ccm wao watachagua mti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…