Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Bakisha hakiba ya manenoChadema must die
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bakisha hakiba ya manenoChadema must die
Huu msemo wa ni yeye umeukatia hati miliki?Kwa taarifa nilizopata usiku huu baada ya kuwasili hapa Dodoma ni kwamba wabunge wengi huenda wakafyekelewa mbali licha ya kuongoza kwenye kura za maoni.
Chama kina kila aina ya ushahidi wa vitendo vya rushwa kwa baadhi ya wagombea na wengi hawataamini macho na masikio yao baada ya orodha ya wateule kutoka.
Kesho nitawaletea taarifa rasmi, muda huu acha nipige pasi sare ya chama tayari kwa shughuli ya kesho.
Ni yeye Dr Magufuli.
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa....... Mimi mwenyeji bhana!Bwashee karibu kama hauna pa kulala nafasi za wageni zipo
Anasound kama anapigwa na baridiBwashee karibu kama hauna pa kulala nafasi za wageni zipo
Bwashee kuwa muwazi nimesikia baadhi ya vijana wa lumumba mmehamishiwa Dodoma na wewe ni mmoja wapo?Hahahaaaa....... Mimi mwenyeji bhana!
Ahsante kwa kujali lakini.
HahahaaKwa taarifa nilizopata usiku huu baada ya kuwasili hapa Dodoma ni kwamba wabunge wengi huenda wakafyekelewa mbali licha ya kuongoza kwenye kura za maoni.
Chama kina kila aina ya ushahidi wa vitendo vya rushwa kwa baadhi ya wagombea na wengi hawataamini macho na masikio yao baada ya orodha ya wateule kutoka.
Kesho nitawaletea taarifa rasmi, muda huu acha nipige pasi sare ya chama tayari kwa shughuli ya kesho.
Ni yeye Dr Magufuli.
Maendeleo hayana vyama!
Ni Yeye chakubanga ameitisha press kusema TID amedhulumiwa? Na wewe umeamua kubaka kabisa. Hadi Oktoba tutaona mengi.Kwa taarifa nilizopata usiku huu baada ya kuwasili hapa Dodoma ni kwamba wabunge wengi huenda wakafyekelewa mbali licha ya kuongoza kwenye kura za maoni.
Chama kina kila aina ya ushahidi wa vitendo vya rushwa kwa baadhi ya wagombea na wengi hawataamini macho na masikio yao baada ya orodha ya wateule kutoka.
Kesho nitawaletea taarifa rasmi, muda huu acha nipige pasi sare ya chama tayari kwa shughuli ya kesho.
Ni yeye Dr Magufuli.
Maendeleo hayana vyama!
Kuna vijana wa lumumba baadhi wamehamishiwa Dodoma huenda. johnthebaptist. ni mmojawapo watakuwa hawajapewa pakulala wapo stand wanasubiri mwenyeji wao lemtuz awapokee.Anasound kama anapigwa na baridi
Bwashee mimi niko Iringa kwa shughuli moja tu ya kukomboa jiimpo, hapa ugogoni nimeingia usiku huu kwa ajili ya kumshuhudia......Ni yeye Dr Magufuli akichukua fomu.Bwashee kuwa muwazi nimesikia baadhi ya vijana wa lumumba mmehamishiwa Dodoma na wewe ni mmoja wapo?
Pale nkuhungu nina kakibanda bwashee lakini CCM ni chama kubwa!Kuna vijana wa lumumba baadhi wamehamishiwa Dodoma huenda. johnthebaptist. ni mmojawapo watakuwa hawajapewa pakulala wapo stand wanasubiri mwenyeji wao lemtuz awapokee.
Faustine hana makuu!Dr Ndungulile hakutoa rushwa Kigamboni.
Unalikomboa kutoka kwa nani ?Bwashee mimi niko Iringa kwa shughuli moja tu ya kukomboa jiimpo, hapa ugogoni nimeingia usiku huu kwa ajili ya kumshuhudia......Ni yeye Dr Magufuli akichukua fomu.
Njoo hapa chako ni chako ule kukuHahahaaaa....... Mimi mwenyeji bhana!
Ahsante kwa kujali lakini.
Sawa bwasheePale nkuhungu nina kakibanda bwashee lakini CCM ni chama kubwa!