Humphrey Polepole for future presidency

Humphrey Polepole for future presidency

Polepole anahitaji sikio la kijana; anapingana na wahuni wanaodhani wana hati miliki ya nchi hii.

Vijana tunamuelewa sana kama kiongozi wetu wa kesho.

Long live Polepole

Polepole ni mmoja kati ya viongozi waliofanikisha Magufuli kutawala nchi huu kwa unyama na ukatili mkubwa. Vijana mnaomuelewa ni nyie mliokuwa kwenye lile kundi la watu wasiojulikana.
 
Kwa wanasiasa wote Polepole ndio aina ya watu ambao wametengenezwa kutuongoza kesho yetu vijana.

Polepole for future presidency

#kataawahuni

Mungu tulindie Polepole dhidi ya wahuni

Vijana tupo tayari kwa uongozi wa Polepole kwa nafasi yoyote
Hebu badilisha hapo kwenye TUPO,sema NIPO
 
Kwa wanasiasa wote Polepole ndio aina ya watu ambao wametengenezwa kutuongoza kesho yetu vijana.

Polepole for future presidency

#kataawahuni

Mungu tulindie Polepole dhidi ya wahuni

Vijana tupo tayari kwa uongozi wa Polepole kwa nafasi yoyote

Tuongozwe na Kiroboto??!!
 
Kila mtu humu anajua kua wewe @kiladha Ni kilaza lkn hatukujua kwamba huna akili kiasi hiki.
Polepole nae Ni mtu wa kukununua uandike huu utumbo?
Aisee. You are very cheap.
 
jamaa ni presidential material.mtu mwenye udhubutu wa kunyoosha Mambo ,katikati ya wahuni wengi,ni Kama amejitoa ,kusema kwa niaba ya wengi!!! japo si rahisi kihivyo lkn tukumbuke hata jpm ,hakuna aliedhania.r.i.p mkapa!!! r.i.p jpm
 
Kwa wanasiasa wote Polepole ndio aina ya watu ambao wametengenezwa kutuongoza kesho yetu vijana.

Polepole for future presidency

#kataawahuni

Mungu tulindie Polepole dhidi ya wahuni

Vijana tupo tayari kwa uongozi wa Polepole kwa nafasi yoyote
Utafiti unasema Watanzania wengi mmechanganyikiwa
 
Mh Polepole ni mwana CCM na kijana pekee mwenye dira.

Mungu atulindie huyu shujaa dhidi ya vita vyake na wahuni.

Tanzania kupitia CCM sio monarchy state kama baadhi ya watu wanavyodhani.

God bless Polepole kwenye vita yake na wahuni.
#kataaWahuni.....Polepole mvamizi...alivamia CCM 2015 kwisha habari yake bahati mbaya godfather akasepa
 
Kwanza munachanganya mambo..hivi huyuhuyu Polepole The lecturer of uongozi au Polepole The Vieeeti man???
 
Kwa wanasiasa wote Polepole ndio aina ya watu ambao wametengenezwa kutuongoza kesho yetu vijana.

Polepole for future presidency

#kataawahuni

Mungu tulindie Polepole dhidi ya wahuni

Vijana tupo tayari kwa uongozi wa Polepole kwa nafasi yoyote
1640432328401.png

Eti nini????
 
Kwa wanasiasa wote Polepole ndio aina ya watu ambao wametengenezwa kutuongoza kesho yetu vijana.

Polepole for future presidency

#kataawahuni

Mungu tulindie Polepole dhidi ya wahuni

Vijana tupo tayari kwa uongozi wa Polepole kwa nafasi yoyote
Yaani nyie mmebaki wajane,ubunge wenyewe Ni was viti maalumu,kwa akili yenu mnafikili na uRaisi mtapata kwa tiketi ya viti maalumu
 
Mungu atustiri na laana ya kuja kushuhudia uraisi wa Polepole. Kama ni uraisi basi awe raisi wa watumiaji KY pekee, sio raisi wa nchi hii.
 
Back
Top Bottom