Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti hata Bashiru Ni mpresident mtarajiwa!! Sishangai kusikia polepole naye ili tulitewe tena watu wasiojulikana, kuua na kutesa. Mwendazake yeye tayari huko aliko anaadhibiwa vikaliKwa wanasiasa wote Polepole ndio aina ya watu ambao wametengenezwa kutuongoza kesho yetu vijana.
Polepole for future presidency
#kataawahuni
Mungu tulindie Polepole dhidi ya wahuni
Vijana tupo tayari kwa uongozi wa Polepole kwa nafasi yoyote
Hebu tuekee orodha ya uthubutu wake ? Alishindwa kusimamia vitu alivyotuaminisha wakati wa katiba mpya na badala yake akavipa mgogo kabisa. Hana maana kabisa, kwanza utaratibu wa chama chake hii hoja ya mtu mwengine kugombea is out of question.Kwenu nyie wa ovyo, kwa sisi vijana Polepole ni hadhi ya raisi au katibu mkuu kiongozi.
Siwezi kuwasemea wengine, ila mimi kama kijana nina imani na uongozi wa Polepole.
Polepole anauthubutu mungu atulindie huyu kiongozi.
Merry Xmas and happy new year
Kuna haja hospitali ya Mirembe kujengwa kila kataKwa wanasiasa wote Polepole ndio aina ya watu ambao wametengenezwa kutuongoza kesho yetu vijana.
Polepole for future presidency
#kataawahuni
Mungu tulindie Polepole dhidi ya wahuni
Vijana tupo tayari kwa uongozi wa Polepole kwa nafasi yoyote
Akawaongoze huko kijijini kwenu kwenye mazezetaKwa wanasiasa wote Polepole ndio aina ya watu ambao wametengenezwa kutuongoza kesho yetu vijana.
Polepole for future presidency
#kataawahuni
Mungu tulindie Polepole dhidi ya wahuni
Vijana tupo tayari kwa uongozi wa Polepole kwa nafasi yoyote
Well said mkuu, PolePole akizungumza unauona uzalendo, tuumalize mwaka kwa kukataa wahuni wa aina ya nape, January na wenzakeBora kigeugeu na mzalendo maana ukiniuliza Polepole vs Nape mzee wa 800 mil au Polepole vs Makamba mzee wa michongo etc yaani ni afadhali Polepole. Polepole kazi yake tumeiona, kagawa V8 na landcruiser mikonga kwa viongozi wa CCM ila angekuwa Bulembo angehakikisha hiyo hela anaichepusha iwe ya kwake na familia. Polepole akiongea unauona uzalendo lakini Bulembo akiongea unaona unafiki na wizi. Nani hajui kuwa CCM mwizi analindwa??? Muacheni Polepole aendelee kutuneemesha kwa elimu ya uzalendo. Na huu mtego wenu wa kitoto eti mnamtegeshea ajirengeshe mumuue it’ll never happen, he is smarter. Urais siyo lengo lake kabisa hata kidogo.
kweli vijana wa .com hamumjui Polepole Humphrey
ameshakisaliti Chama si mara moja akahama na Mwendazake akamrejesha ili kulinda maslahi baada ya kumpachika Ukuu wa Wilaya Mara na Dsm
Hafai mteteeni lkn uchaguzi ni mwezi ujao ndani ya Chama atapanguliwa kila akigusa fomu wanafiki hawatakiwi
Kabisa. Ingawa mimi kama mwana CCM kindaki ndaki, nasema akina Nape, January na wenye mlengo wa kifisadi na kujiona CCM ni mali za familia zao wanaweza kubadilika na kuwa wazalendo, wakatubu (ingawa sijui watatubu kwa nani maana Dkt Magufuli ndiyo huyo walimtukana mpaka maiti yake waliidhihaki na kabuli lake bado wanalitukana), na wazee wao waliopo ndiyo kundi lilelile na kumdhihaki Dkt Magufuli. Kama wanasoma hizi nyuzi basi watambue kuwa watanzania tunawapenda kama vijana ila tunachukia sana tabia zao za kurudisha nyuma maendeleo.Well said mkuu, PolePole akizungumza unauona uzalendo, tuumalize mwaka kwa kukataa wahuni wa aina ya nape, January na wenzake
Wanatembea nakauli ya Chama kina wenyewe, ni suala la muda tu! Hawana msaada wowote ndani ya Taifa hili maskini zaidi ya kuvuna Kodi za watz.Kabisa. Ingawa mimi kama mwana CCM kindaki ndaki, nasema akina Nape, January na wenye mlengo wa kifisadi na kujiona CCM ni mali za familia zao wanaweza kubadilika na kuwa wazalendo, wakatubu (ingawa sijui watatubu kwa nani maana Dkt Magufuli ndiyo huyo walimtukana mpaka maiti yake waliidhihaki na kabuli lake bado wanalitukana), na wazee wao waliopo ndiyo kundi lilelile na kumdhihaki Dkt Magufuli. Kama wanasoma hizi nyuzi basi watambue kuwa watanzania tunawapenda kama vijana ila tunachukia sana tabia zao za kurudisha nyuma maendeleo.
Polepole ni kigeugeu sana!
Bora kigeugeu na mzalendo maana ukiniuliza Polepole vs Nape mzee wa 800 mil au Polepole vs Makamba mzee wa michongo etc yaani ni afadhali Polepole. Polepole kazi yake tumeiona, kagawa V8 na landcruiser mikonga kwa viongozi wa CCM ila angekuwa Bulembo angehakikisha hiyo hela anaichepusha iwe ya kwake na familia. Polepole akiongea unauona uzalendo lakini Bulembo akiongea unaona unafiki na wizi. Nani hajui kuwa CCM mwizi analindwa??? Muacheni Polepole aendelee kutuneemesha kwa elimu ya uzalendo. Na huu mtego wenu wa kitoto eti mnamtegeshea ajirengeshe mumuue it’ll never happen, he is smarter. Urais siyo lengo lake kabisa hata kidogo.
Mh Polepole ni mwana CCM na kijana pekee mwenye dira.
Mungu atulindie huyu shujaa dhidi ya vita vyake na wahuni.
Tanzania kupitia CCM sio monarchy state kama baadhi ya watu wanavyodhani.
God bless Polepole kwenye vita yake na wahuni.
Polepole anahitaji sikio la kijana; anapingana na wahuni wanaodhani wana hati miliki ya nchi hii.
Vijana tunamuelewa sana kama kiongozi wetu wa kesho.
Long live Polepole
Hata Tff kubwa sana kwa polepole
Yeye mwenyewe 40+
Lengo la mada ni kumkumbusha asijione yupo pekee vijana tunaelewa vita yake dhidi ya wahuni.
Na kwa umri wake kwenda chini hakuna anaefaa kuongoza dhidi yake.
Umetudharau Sana watz.Yaani tuongozwe na dalali