Humphrey Polepole for future presidency

Humphrey Polepole for future presidency

Kwa wanasiasa wote Polepole ndio aina ya watu ambao wametengenezwa kutuongoza kesho yetu vijana.

Polepole for future presidency

#kataawahuni

Mungu tulindie Polepole dhidi ya wahuni

Vijana tupo tayari kwa uongozi wa Polepole kwa nafasi yoyote
Eti hata Bashiru Ni mpresident mtarajiwa!! Sishangai kusikia polepole naye ili tulitewe tena watu wasiojulikana, kuua na kutesa. Mwendazake yeye tayari huko aliko anaadhibiwa vikali
 
Kwenu nyie wa ovyo, kwa sisi vijana Polepole ni hadhi ya raisi au katibu mkuu kiongozi.

Siwezi kuwasemea wengine, ila mimi kama kijana nina imani na uongozi wa Polepole.

Polepole anauthubutu mungu atulindie huyu kiongozi.

Merry Xmas and happy new year
Hebu tuekee orodha ya uthubutu wake ? Alishindwa kusimamia vitu alivyotuaminisha wakati wa katiba mpya na badala yake akavipa mgogo kabisa. Hana maana kabisa, kwanza utaratibu wa chama chake hii hoja ya mtu mwengine kugombea is out of question.

Akimaliza Samia na yeye si kijana tena, maana atakuwa amezeeka zaidi ya hivi alivyo sasa.
 
Kwa wanasiasa wote Polepole ndio aina ya watu ambao wametengenezwa kutuongoza kesho yetu vijana.

Polepole for future presidency

#kataawahuni

Mungu tulindie Polepole dhidi ya wahuni

Vijana tupo tayari kwa uongozi wa Polepole kwa nafasi yoyote
Akawaongoze huko kijijini kwenu kwenye mazezeta
 
kweli vijana wa .com hamumjui Polepole Humphrey
ameshakisaliti Chama si mara moja akahama na Mwendazake akamrejesha ili kulinda maslahi baada ya kumpachika Ukuu wa Wilaya Mara na Dsm
Hafai mteteeni lkn uchaguzi ni mwezi ujao ndani ya Chama atapanguliwa kila akigusa fomu wanafiki hawatakiwi
 
Kwa chama kipi hali ccm ipo mikono salama kwa wenyewe,kupata mtu kama magu ni miaka 40 ijayo hatupo
 
Bora kigeugeu na mzalendo maana ukiniuliza Polepole vs Nape mzee wa 800 mil au Polepole vs Makamba mzee wa michongo etc yaani ni afadhali Polepole. Polepole kazi yake tumeiona, kagawa V8 na landcruiser mikonga kwa viongozi wa CCM ila angekuwa Bulembo angehakikisha hiyo hela anaichepusha iwe ya kwake na familia. Polepole akiongea unauona uzalendo lakini Bulembo akiongea unaona unafiki na wizi. Nani hajui kuwa CCM mwizi analindwa??? Muacheni Polepole aendelee kutuneemesha kwa elimu ya uzalendo. Na huu mtego wenu wa kitoto eti mnamtegeshea ajirengeshe mumuue it’ll never happen, he is smarter. Urais siyo lengo lake kabisa hata kidogo.
Well said mkuu, PolePole akizungumza unauona uzalendo, tuumalize mwaka kwa kukataa wahuni wa aina ya nape, January na wenzake
 
kweli vijana wa .com hamumjui Polepole Humphrey
ameshakisaliti Chama si mara moja akahama na Mwendazake akamrejesha ili kulinda maslahi baada ya kumpachika Ukuu wa Wilaya Mara na Dsm
Hafai mteteeni lkn uchaguzi ni mwezi ujao ndani ya Chama atapanguliwa kila akigusa fomu wanafiki hawatakiwi

Mnaweza kufanya hivyo sio issue kivile. Yeye pia anajua hivyo ukiiishi kwa kuogopa kila kitu, hayo sio maisha.

Mna jeshi, usalama, polisi, think tanks, lakini hamuwezi kupangua hoja zake kwa hoja zenu, mkitumia your intellect power kupangua hoja na ku-articulate hoja zenu. Mtaeeleweka. Toeni lectures hata youtube, insta Watanzania wengi watawakubali wakiona mna points.

Mmeishia kumvamia, nyumbani kwake, kutumia TCRA kuweka, KY, toilet papers, utoto mwingi, kumtishia kumuua ili kuwaondoa Watanzania kwenye issue za msingi anazoziongelea.
 
Well said mkuu, PolePole akizungumza unauona uzalendo, tuumalize mwaka kwa kukataa wahuni wa aina ya nape, January na wenzake
Kabisa. Ingawa mimi kama mwana CCM kindaki ndaki, nasema akina Nape, January na wenye mlengo wa kifisadi na kujiona CCM ni mali za familia zao wanaweza kubadilika na kuwa wazalendo, wakatubu (ingawa sijui watatubu kwa nani maana Dkt Magufuli ndiyo huyo walimtukana mpaka maiti yake waliidhihaki na kabuli lake bado wanalitukana), na wazee wao waliopo ndiyo kundi lilelile na kumdhihaki Dkt Magufuli. Kama wanasoma hizi nyuzi basi watambue kuwa watanzania tunawapenda kama vijana ila tunachukia sana tabia zao za kurudisha nyuma maendeleo.
 
Wanatembea nakauli ya Chama kina wenyewe, ni suala la muda tu! Hawana msaada wowote ndani ya Taifa hili maskini zaidi ya kuvuna Kodi za watz.

TIME HEALS ALL WOUNDS
 
Bila kusahau ile biashara yake ya kuunga juhud
Bora kigeugeu na mzalendo maana ukiniuliza Polepole vs Nape mzee wa 800 mil au Polepole vs Makamba mzee wa michongo etc yaani ni afadhali Polepole. Polepole kazi yake tumeiona, kagawa V8 na landcruiser mikonga kwa viongozi wa CCM ila angekuwa Bulembo angehakikisha hiyo hela anaichepusha iwe ya kwake na familia. Polepole akiongea unauona uzalendo lakini Bulembo akiongea unaona unafiki na wizi. Nani hajui kuwa CCM mwizi analindwa??? Muacheni Polepole aendelee kutuneemesha kwa elimu ya uzalendo. Na huu mtego wenu wa kitoto eti mnamtegeshea ajirengeshe mumuue it’ll never happen, he is smarter. Urais siyo lengo lake kabisa hata kidogo.
 
Kwan kwenu umri wa kijana unaishia miaka mingap????mana huyu anaonekana babu tena anaruka
Mh Polepole ni mwana CCM na kijana pekee mwenye dira.

Mungu atulindie huyu shujaa dhidi ya vita vyake na wahuni.

Tanzania kupitia CCM sio monarchy state kama baadhi ya watu wanavyodhani.

God bless Polepole kwenye vita yake na wahuni.
 
Toa kichwa dirishani uungane nae ktk kuyatafuta upya maviet
Yeye mwenyewe 40+

Lengo la mada ni kumkumbusha asijione yupo pekee vijana tunaelewa vita yake dhidi ya wahuni.

Na kwa umri wake kwenda chini hakuna anaefaa kuongoza dhidi yake.
 
Back
Top Bottom