Humphrey Polepole: "Hatuwezi kuwa nchi inaendeshwa kama idara ya 'Fire'

Kama Polepole anaweza kuua Chadema, basi Chadema kilijengwa kwenye misingi hewa na hakikustaili basi kuwa Chama cha siasa chenye Nia ya kuchukua dola!!!

Au ndiyo una mpromoti Polepole kijanja?

Soma vizuri nilichoandika,usipende kudandia jambo usilolijua. Nimesema Polepole alipambana kuiua CHADEMA kipindi Cha Magufuli. Nashangaa urais
 
Katiba haijaongea lolote kuhusu habari za awamu.

Kama unabisha weka kifungu cha katiba hapa tujadiliane kwa kusoma vifungu vya katiba.
Okay uko right,
Nadhani anazungumia Sheria za CCM, ambazo ss wengi hatuzujui coz ni Mambo ya chama Chao sio ya nchi.
 
Okay uko right,
Nadhani anazungumia Sheria za CCM, ambazo ss wengi hatuzujui coz ni Mambo ya chama Chao sio ya nchi.
Sheria za CCM zote zimeandikwa na zinajulikana, kuanzia katiba mpaka miongozo.

Hakuna sehemu yoyote zinaposema Makamu wa Rais hatakiwi kugombea urais.

In fact Ali Hassan Mwinyi alivyogombea urais alikuwa Makamu wa Rais.
 
K
Pole pole ni mnafiki Sana. Huyu ndio alipambana kuiua CHADEMA kipindi Cha Magufuli, Sasa hivi anajifanya mwanademokrasia. Very stupid guy.
KUUA CHADEMA YA MBOWE NDIO USHUJAA PEKEE ULIOFANYIKA HAPA TANZANIA..MENGINE HISTORIA ITASEMA
 
Hapa mpk VPN ishakua tabu
 
Usijali Mkuu Bado muda upo sn
 
Boxers wawili wanapopigana ni vigumu sana kujua kama ngumi wanazopiga zinauma au laa!.
Lakin response au effect ya mpigwaji ndo utajua kweli zile ngumi zina uzito kiasi gani. Huyu polepole walegwa anaowazungumzia hawamchukulii poa.
Wala yeye mwenyewe hajioni salama kwa anachokifanya,na kama ni hivo why amejirisk kufanya hivyo??? Atakuwa anazaid ya anachokisema.
 
Sheria za CCM zote zimeandikwa na zinajulikana, kuanzia katiba mpaka miongozo.

Hakuna sehemu yoyote zinaposema Makamu wa Rais hatakiwi kugombea urais.

In fact Ali Hassan Mwinyi alivyogombea urais alikuwa Makamu wa Rais.
Hahaha 😂. Ni kale kwa utaratibu/desturi wa kuteua wagombea baada ya bunge kuvujwa

Jk alisema isije ikaonekana tumeharibu sana,
"Nyie vijana yanapozungumzwa mambo makubwa munapaswa kutulia"

Polepole Kuna kundi la vigogo wa CCM wamempa upper ✋ kuja kufanya haya
 
Soma vizuri nilichoandika,usipende kudandia jambo usilolijua. Nimesema Polepole alipambana kuiua CHADEMA kipindi Cha Magufuli. Nashangaa urais
Alisema Chadema wanaweza wakamfuata awashauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…