Huu ndio uongoz ambao wanasambaza huko mtaani. Wanajeshi sio ccm by any means necessary, na wako prohibited kushiriki siasa kwa miongozo ya kazi zao.Wanajeshi wote na askari wa vyombo vyote vya ulinzi ni CCM.
View attachment 3318749
Niwakumbushe tu Nyerere alicopy mfumo wa kikomunisti wa China japo hatukuwa wakomunisti kamili kama wao lakini tulikuwa na elements nyingi tu za kisiasa kama huko China na ndio maana mpaka leo moja ya vyama rafiki vya CCM ni CCP ya China.
China chama kina nguvu dhidi ya mifumo yote ya nchi hata Tanzania CCM ipo juu ya vyote vyombo vyote vya ulinzi vina watu wao.
Mtanzania yoyote anayejenga imani na jeshi la wananchi kama linavyoitwa kuwa jeshi lao na wanliamini huwa nawashangaa sana.
Hao ni CCM wewe kutokukubali kuwa ni CCM ni fikra zako na kutokutaka kuzingatia historia ya siasa nchini toka uhuru mpaka sasa.Huu ndio uongoz ambao wanasambaza huko mtaani. Wanajeshi sio ccm by any means necessary, na wako prohibited kushiriki siasa kwa miongozo ya kazi zao.
Nazungumzia TPDF jeshi la wananchi. Hata polisi pia PGO ina vifungu vinavyo wakataza kabisa kwneye hilo
Kinachotokea ni wanasiasa (huwa wana gain access na vyombo hivyo kwa kutumia vivuli vya madaraka ya serikali walivyopewa (teuzi)
Nyerere ndo aliyekuwa wa kwanza kabisa kutuharibia nchi...yeye pia alikuwa mkandamizaji wa haki na mtu yeyote aliye onekana elite na smart alichukuliwa kama threat....tunaweza kumbuka kwa ufupi habari za watu kama kina kambona na Sokoine.Wanajeshi wote na askari wa vyombo vyote vya ulinzi ni CCM.
Niwakumbushe tu Nyerere alicopy mfumo wa kikomunisti wa China japo hatukuwa wakomunisti kamili kama wao lakini tulikuwa na elements nyingi tu za kisiasa kama huko China na ndio maana mpaka leo moja ya vyama rafiki vya CCM ni CCP ya China.
China chama kina nguvu dhidi ya mifumo yote ya nchi hata Tanzania CCM ipo juu ya vyote vyombo vyote vya ulinzi vina watu wao.
Mtanzania yoyote anayejenga imani na jeshi la wananchi kama linavyoitwa kuwa jeshi lao na wana liamini huwa nawashangaa sana.
Hakuna hicho kitu..ni ujinga wa mtu mmoja mmoja ndio unaota ndoto za namna hii, hata wanajeshi wenyewe hawawezi kukubali kitu km hiki..mjinga pekee ndie anaweza tetea na kufurahia hali hii ambayo kikatiba ni kosa, hapa siyo china!Hao ni CCM wewe kutokukubali kuwa ni CCM ni fikra zako na kutokutaka kuzingatia historia ya siasa nchini toka uhuru mpaka sasa.
Ni ukweli hakuna ujinga wa mtu mmoja hapo.Hakuna hicho kitu..ni ujinga wa mtu mmoja mmoja ndio unaota ndoto za namna hii, hata wanajeshi wenyewe hawawezi kukubali kitu km hiki..mjinga pekee ndie anaweza tetea na kufurahia hali hii ambayo kikatiba ni kosa, hapa siyo china!
Hakuna jeshi paleNi ukweli hakuna ujinga wa mtu mmoja hapo.
Jeshini tumeimba sana kidumu chama cha mapinduzi hakuna kilicho badilika.
Ni kweli kwa miaka hiyo ilikuwa hivyo. Majeshi ulikuwa Mkoa wa Kichama na Vikosi vya Jeshi vilikuwa matawi ya Chama.Wanajeshi wote na askari wa vyombo vyote vya ulinzi ni CCM.
Niwakumbushe tu Nyerere alicopy mfumo wa kikomunisti wa China japo hatukuwa wakomunisti kamili kama wao lakini tulikuwa na elements nyingi tu za kisiasa kama huko China na ndio maana mpaka leo moja ya vyama rafiki vya CCM ni CCP ya China.
China chama kina nguvu dhidi ya mifumo yote ya nchi hata Tanzania CCM ipo juu ya vyote vyombo vyote vya ulinzi vina watu wao.
Mtanzania yoyote anayejenga imani na jeshi la wananchi kama linavyoitwa kuwa jeshi lao na wana liamini huwa nawashangaa sana.
Ukistaaff kadi yako kadi yako unaendelea kutamba nayo vizuri tu.Maneno yanasema kabla ya 1992.
Kichwq cha habari kinasema Sasa.
Tumuewe nani.
Polepole
Mleta mada
Clip
Au tuendelee na maisha tu.
Mzee wa kupigania serikali 3Huyu kima yupo benchi kama kawa
Hata sasa Magufuli aliteua wengi tu active soldiers kwenye sehemu mbalimbali za jeshi.Ni kweli kwa miaka hiyo ilikuwa hivyo. Majeshi ulikuwa Mkoa wa Kichama na Vikosi vya Jeshi vilikuwa matawi ya Chama.
Pia, kulikuwa na Kamisaa wa siasa ndani ya kila kambi.
Utaratibu huo ulikoma baada ya Vyama vingi vya siasa kuanza 1992. Hivyo Mwanajeshi wa miaka hiyo kama bado anahudumu kimsingi aliwahi kuwa Mwanachama wa CCM