Humphrey Polepole: Huwezi kuwa askari wa Jeshi la wananchi Tanzania bila kuwa mwanachama wa CCM

Humphrey Polepole: Huwezi kuwa askari wa Jeshi la wananchi Tanzania bila kuwa mwanachama wa CCM

Mkuu tuko pamoja, mtikila nimekuja kumwelewa bada ya kusoma kitabu cha kwa kheri huru kwa kheri ukoloni namna Nyerere alivyo kuwa
ni wachache sana wanaweza elewa ukweli huu. wengi wana danganywa na ule uhuru wa mchongo ambao nyerere alipewa na kudhani kwamba basi alikuwa genius na kwamba kila alicho fanya kilikuwa safi kumbe wapi.
 
Na mingi ya mifumo yake iliambatanishwa na matambiko/makafara ya aina mbalimbali, kuiondoa itabidi imwagike damu ya kutosha.
brother. matambiko ad leo yana endelea...em fikiria ule mwenge uka kazi gani ya msingi ad utengewe bajeti nzuri kila mwaka sambamba na watu kuchangia ili uzunguke nchi? ni mwenge tu unadhani?
nchi imejaa matambiko ya CCM, bila jitihada ya ziada wananchi wataendelea kuwa kama kondoo na taifa litabaki kama alivyo iacha baba yake
 
Wanajeshi wote na askari wa vyombo vyote vya ulinzi ni CCM.

Niwakumbushe tu Nyerere alicopy mfumo wa kikomunisti wa China japo hatukuwa wakomunisti kamili kama wao lakini tulikuwa na elements nyingi tu za kisiasa kama huko China na ndio maana mpaka leo moja ya vyama rafiki vya CCM ni CCP ya China.

China chama kina nguvu dhidi ya mifumo yote ya nchi hata Tanzania CCM ipo juu ya vyote vyombo vyote vya ulinzi vina watu wao.

Mtanzania yoyote anayejenga imani na jeshi la wananchi kama linavyoitwa kuwa jeshi lao na wana liamini huwa nawashangaa sana.
Polepole ni mtu hatari sana. Kuliko Magufuli.

Magufuki hana ulimi qa kulaghai qatu kwa hila. Anakwambia tu nyeupe nyeupe, nyeusi nyeusi.

Polepole janjajanja nyiingi lakini ni dikteta tu.
 
Back
Top Bottom