Humphrey Polepole: Huwezi kuwa askari wa Jeshi la wananchi Tanzania bila kuwa mwanachama wa CCM

Humphrey Polepole: Huwezi kuwa askari wa Jeshi la wananchi Tanzania bila kuwa mwanachama wa CCM

Ni ukweli hakuna ujinga wa mtu mmoja hapo.

Jeshini tumeimba sana kidumu chama cha mapinduzi hakuna kilicho badilika.
..kukubali kidumu ccm kwa sasa ndio ujinga huo sasa, sababu kwanza si sahihi, pili imani za namna hiyo haziwezi kusimama kwenye zama hizi hvyo kuziamini ni kuwakosea wengine ziliowaletea maumivu!
 
Mbona inafahamika zamani ilikua kuajiriwa jeshini kigezo kadi ya Ccm
 

 
Wanajeshi wote na askari wa vyombo vyote vya ulinzi ni CCM.

Niwakumbushe tu Nyerere alicopy mfumo wa kikomunisti wa China japo hatukuwa wakomunisti kamili kama wao lakini tulikuwa na elements nyingi tu za kisiasa kama huko China na ndio maana mpaka leo moja ya vyama rafiki vya CCM ni CCP ya China.

China chama kina nguvu dhidi ya mifumo yote ya nchi hata Tanzania CCM ipo juu ya vyote vyombo vyote vya ulinzi vina watu wao.

Mtanzania yoyote anayejenga imani na jeshi la wananchi kama linavyoitwa kuwa jeshi lao na wana liamini huwa nawashangaa sana.
Upuuzi, hii system ilikuwa muhimu kipindi cha nyerere, lakini haikuleta ufanisi, china ni super power sie,hatustahaili hata kuwa choo cha mchina
 
Wanajeshi wote na askari wa vyombo vyote vya ulinzi ni CCM.

Niwakumbushe tu Nyerere alicopy mfumo wa kikomunisti wa China japo hatukuwa wakomunisti kamili kama wao lakini tulikuwa na elements nyingi tu za kisiasa kama huko China na ndio maana mpaka leo moja ya vyama rafiki vya CCM ni CCP ya China.

China chama kina nguvu dhidi ya mifumo yote ya nchi hata Tanzania CCM ipo juu ya vyote vyombo vyote vya ulinzi vina watu wao.

Mtanzania yoyote anayejenga imani na jeshi la wananchi kama linavyoitwa kuwa jeshi lao na wana liamini huwa nawashangaa sana.
Uh, huyu naye alikuwa mjumbe wa kamati ya Warioba et! Ila TZ kuna watu wanafiki sana
 
Ni ukweli uliowazi kwa wahenga.

Zidumu fikra za mwenyekiti tumesema sana jeshini, kidumu chama cha mapinduzi tumesema sana makambini.
Si kweli, na napingana na ww, wkt na serve, moja ya miongozo ya kijeshi ni kuto kujihusisha na siasa. Nasemea tpdf, nadhani hata police wana Pgo, na hawa wa juzi juzi wana GO inayoeaongoza inayo kataza kabisa

Hakuna muongozo wa kijeshi unasema hivyo.

Kinachotokea ni viongoz kule juu, hajulikani when wanatoa amri kama viongozi wa serikali, na when wanatoa amri kama wanachama wa ccm
Na hiyo loop hole imetokea kwenye katiba

Hata kiapo, hakuna sehem unaapa kukitumikia chama, unless ww ni green guard.
 
Ndiyo maana mimi huwa sioni umuhimu wa kuwa na Uchaguzi.
 
Ni kweli kwa miaka hiyo ilikuwa hivyo. Majeshi ulikuwa Mkoa wa Kichama na Vikosi vya Jeshi vilikuwa matawi ya Chama.
Pia, kulikuwa na Kamisaa wa siasa ndani ya kila kambi.
Utaratibu huo ulikoma baada ya Vyama vingi vya siasa kuanza 1992. Hivyo Mwanajeshi wa miaka hiyo kama bado anahudumu kimsingi aliwahi kuwa Mwanachama wa CCM
Utaratibu huo Unasema ulikoma mwaka 1992 baada ya kuanza kwa mfumo wa vyama vingi 🙄 je ulikoma kwa kutungwa sheria au kwa maneno tu kwamba SASA BASI 😳🤣 !
 
Wanajeshi wote na askari wa vyombo vyote vya ulinzi ni CCM.

Niwakumbushe tu Nyerere alicopy mfumo wa kikomunisti wa China japo hatukuwa wakomunisti kamili kama wao lakini tulikuwa na elements nyingi tu za kisiasa kama huko China na ndio maana mpaka leo moja ya vyama rafiki vya CCM ni CCP ya China.

China chama kina nguvu dhidi ya mifumo yote ya nchi hata Tanzania CCM ipo juu ya vyote vyombo vyote vya ulinzi vina watu wao.

Mtanzania yoyote anayejenga imani na jeshi la wananchi kama linavyoitwa kuwa jeshi lao na wana liamini huwa nawashangaa sana.
Hilo linafahamika
 
Ndio maana jeshi letu limekula kipigo na vitoto vya M23 kumbe JWTZ limefanywa kuwa jumuiya ya UVCCM.

Kumbe tunapeleka UVCCM kwenye mission muhimu?
 
Huu ndio uongoz ambao wanasambaza huko mtaani. Wanajeshi sio ccm by any means necessary, na wako prohibited kushiriki siasa kwa miongozo ya kazi zao.

Nazungumzia TPDF jeshi la wananchi. Hata polisi pia PGO ina vifungu vinavyo wakataza kabisa kwneye hilo

Kinachotokea ni wanasiasa (huwa wana gain access na vyombo hivyo kwa kutumia vivuli vya madaraka ya serikali walivyopewa (teuzi)
Hiyo ni sheria za kwenye makaratasi lini kiuhalisia CCM iko juu ya jwtz na hakuna wa kubisa bali ni dhahiri kabisa.
 
Back
Top Bottom