Humphrey Polepole: Huwezi kuwa askari wa Jeshi la wananchi Tanzania bila kuwa mwanachama wa CCM

Humphrey Polepole: Huwezi kuwa askari wa Jeshi la wananchi Tanzania bila kuwa mwanachama wa CCM

Hao ni CCM wewe kutokukubali kuwa ni CCM ni fikra zako na kutokutaka kuzingatia historia ya siasa nchini toka uhuru mpaka sasa.
Ndio ukweli we una lipi la kufanya, makada maarufu na wenye nguvu walikuwa jeshini ukianzia na Kanali Jakaya Mrisho Kikwete, Abdulraham Kinana, Yusuf Makamba, kapten John Komba, kapten George Huruma Mkuchika na wengine wengi. Ndio mfumo mzuri hatutaki vibaraka. Bado huko TISS ndio wenyewe
 
Hiyo ni sheria za kwenye makaratasi lini kiuhalisia CCM iko juu ya jwtz na hakuna wa kubisa bali ni dhahiri kabisa.
..sheria gani zinazofuatwa km za kwenye makaratasi hazifuatwi, zilizoandikwa kwenye miti..?
 
Nyerere ndo aliyekuwa wa kwanza kabisa kutuharibia nchi...yeye pia alikuwa mkandamizaji wa haki na mtu yeyote aliye onekana elite na smart alichukuliwa kama threat....tunaweza kumbuka kwa ufupi habari za watu kama kina kambona na Sokoine.
Angalia hata lile dili la kijinga kabisa ambalo tuna adhimisha kila mwaka...ndomaana hadi leo mifumo ya CCM iliyo undwa na yule mzee ndo inayo tesa watu.
We ngedere hakuna unaloweza kujua
 
Hakuna hicho kitu..ni ujinga wa mtu mmoja mmoja ndio unaota ndoto za namna hii, hata wanajeshi wenyewe hawawezi kukubali kitu km hiki..mjinga pekee ndie anaweza tetea na kufurahia hali hii ambayo kikatiba ni kosa, hapa siyo china!
We ni toto jinga
 
Ndio ukweli we una lipi la kufanya, makada maarufu na wenye nguvu walikuwa jeshini ukianzia na Kanali Jakaya Mrisho Kikwete, Abdulraham Kinana, Yusuf Makamba, kapten John Komba, kapten George Huruma Mkuchika na wengine wengi. Ndio mfumo mzuri hatutaki vibaraka. Bado huko TISS ndio wenyewe
..Mwalimu mwenyewe alisalimu amri, na hakuna kipindi nchi ilikaa kwenye mstari ktk maeneo mengi km kipindi cha Mkapa, faida za soko huria zilionekana nchi ikasogea mbele, wewe bado unaota siasa za kutia watu umaskini na mbwembwe za kukutia ujinga!
 
Nyerere ndo aliyekuwa wa kwanza kabisa kutuharibia nchi...yeye pia alikuwa mkandamizaji wa haki na mtu yeyote aliye onekana elite na smart alichukuliwa kama threat....tunaweza kumbuka kwa ufupi habari za watu kama kina kambona na Sokoine.
Angalia hata lile dili la kijinga kabisa ambalo tuna adhimisha kila mwaka...ndomaana hadi leo mifumo ya CCM iliyo undwa na yule mzee ndo inayo tesa watu.
Na mingi ya mifumo yake iliambatanishwa na matambiko/makafara ya aina mbalimbali, kuiondoa itabidi imwagike damu ya kutosha.
 
Hiyo ni sheria za kwenye makaratasi lini kiuhalisia CCM iko juu ya jwtz na hakuna wa kubisa bali ni dhahiri kabisa.
No, is why ccm ina temper na taasis zote but sio tpdf. Wata temper na police na taasis zingine.
Iko hivi GO za jeshi la wananchi ndio msaafu wake, unafuatwa na kila askari, atakae kwenda kinyume kuna adhabu zake. I know because i have guys back in the days walifukuzwa sababu ya ku interfere na siasa, tofauti hawakuwa na vyeo vikubwa jeshin

I dont say mara zote wanafukuza, kuna some incidence wapo walisamehewa, especialy senieour officers
 
Wanajeshi wote na askari wa vyombo vyote vya ulinzi ni CCM.

Niwakumbushe tu Nyerere alicopy mfumo wa kikomunisti wa China japo hatukuwa wakomunisti kamili kama wao lakini tulikuwa na elements nyingi tu za kisiasa kama huko China na ndio maana mpaka leo moja ya vyama rafiki vya CCM ni CCP ya China.

China chama kina nguvu dhidi ya mifumo yote ya nchi hata Tanzania CCM ipo juu ya vyote vyombo vyote vya ulinzi vina watu wao.

Mtanzania yoyote anayejenga imani na jeshi la wananchi kama linavyoitwa kuwa jeshi lao na wana liamini huwa nawashangaa sana.
Heee kumbe wenye elimu sasa si wa kuwaheshimu.
 
Ni ukweli uliowazi kwa wahenga.

Zidumu fikra za mwenyekiti tumesema sana jeshini, kidumu chama cha mapinduzi tumesema sana makambini.
Sawa lakini sio siku hizi, sheria zimebadilika , wanajeshi hawafanyi kazi kwa order za chama
 
Maneno yanasema kabla ya 1992.
Kichwq cha habari kinasema Sasa.
Tumuewe nani.
Polepole
Mleta mada
Clip
Au tuendelee na maisha tu.
Basi tuchukulie kuwa walioingia jeshini toka uhuru mpka 1992 wote ni ccm, waliojiunga na jeshi baada ya hapo walijiunga kwa ihari yao ima kwa siri au kimawazo. Yani wanaona usipojinasibisha na ccm hata kupanda kwako cheo ni ndoto.
 
Inasikitisha sana,wao wanalo jukumu la kulinda mipaka ya nchi na KATIBA,unashangaa KATIBA inavunjwa JWTZ wapo tu,raia wanatekwa na kupotezwa,jeshi la polisi lipo tu na halitekelezi wajibu wake wa kulinda raia na mali zao hivyo mwishowe raia wakitaka kutekeleza tale yalipo kwenye katiba yasasa,wanapigwa na kuuawa na haohao polisi.Ujinga sana huu.
 
Nyerere ndo aliyekuwa wa kwanza kabisa kutuharibia nchi...yeye pia alikuwa mkandamizaji wa haki na mtu yeyote aliye onekana elite na smart alichukuliwa kama threat....tunaweza kumbuka kwa ufupi habari za watu kama kina kambona na Sokoine.
Angalia hata lile dili la kijinga kabisa ambalo tuna adhimisha kila mwaka...ndomaana hadi leo mifumo ya CCM iliyo undwa na yule mzee ndo inayo tesa watu.
Mkuu tuko pamoja, mtikila nimekuja kumwelewa bada ya kusoma kitabu cha kwa kheri huru kwa kheri ukoloni namna Nyerere alivyo kuwa
 
Na mingi ya mifumo yake iliambatanishwa na matambiko/makafara ya aina mbalimbali, kuiondoa itabidi imwagike damu ya kutosha.

Tindo ni Kweli kabisa, kwenye haya majina unaona nini..wambura, mafwele, muliro, nyabudege, chacha, gisima, sagini, mafuru, mafuru tena, mobhare...ongezea na wewe km umejua kitu! haya ndio moja ya madhara aliyoacha Nyerere.​

 
Ndio ukweli we una lipi la kufanya, makada maarufu na wenye nguvu walikuwa jeshini ukianzia na Kanali Jakaya Mrisho Kikwete, Abdulraham Kinana, Yusuf Makamba, kapten John Komba, kapten George Huruma Mkuchika na wengine wengi. Ndio mfumo mzuri hatutaki vibaraka. Bado huko TISS ndio wenyewe
Back in the day kulikuwa na service ya kisiasa jeshini. Lakini ilifutwa na ikiwa peohibited kabisa. Sikuizi haipo, kama wanashiriki ni kwa kujificha
 
Back
Top Bottom