Humphrey Polepole: Huwezi kuwa askari wa Jeshi la wananchi Tanzania bila kuwa mwanachama wa CCM

Ni ukweli hakuna ujinga wa mtu mmoja hapo.

Jeshini tumeimba sana kidumu chama cha mapinduzi hakuna kilicho badilika.
..kukubali kidumu ccm kwa sasa ndio ujinga huo sasa, sababu kwanza si sahihi, pili imani za namna hiyo haziwezi kusimama kwenye zama hizi hvyo kuziamini ni kuwakosea wengine ziliowaletea maumivu!
 
Mbona inafahamika zamani ilikua kuajiriwa jeshini kigezo kadi ya Ccm
 
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Upuuzi, hii system ilikuwa muhimu kipindi cha nyerere, lakini haikuleta ufanisi, china ni super power sie,hatustahaili hata kuwa choo cha mchina
 
Uh, huyu naye alikuwa mjumbe wa kamati ya Warioba et! Ila TZ kuna watu wanafiki sana
 
Ni ukweli uliowazi kwa wahenga.

Zidumu fikra za mwenyekiti tumesema sana jeshini, kidumu chama cha mapinduzi tumesema sana makambini.
Si kweli, na napingana na ww, wkt na serve, moja ya miongozo ya kijeshi ni kuto kujihusisha na siasa. Nasemea tpdf, nadhani hata police wana Pgo, na hawa wa juzi juzi wana GO inayoeaongoza inayo kataza kabisa

Hakuna muongozo wa kijeshi unasema hivyo.

Kinachotokea ni viongoz kule juu, hajulikani when wanatoa amri kama viongozi wa serikali, na when wanatoa amri kama wanachama wa ccm
Na hiyo loop hole imetokea kwenye katiba

Hata kiapo, hakuna sehem unaapa kukitumikia chama, unless ww ni green guard.
 
Ndiyo maana mimi huwa sioni umuhimu wa kuwa na Uchaguzi.
 
Utaratibu huo Unasema ulikoma mwaka 1992 baada ya kuanza kwa mfumo wa vyama vingi 🙄 je ulikoma kwa kutungwa sheria au kwa maneno tu kwamba SASA BASI 😳🤣 !
 
Hilo linafahamika
 
Ndio maana jeshi letu limekula kipigo na vitoto vya M23 kumbe JWTZ limefanywa kuwa jumuiya ya UVCCM.

Kumbe tunapeleka UVCCM kwenye mission muhimu?
 
Hiyo ni sheria za kwenye makaratasi lini kiuhalisia CCM iko juu ya jwtz na hakuna wa kubisa bali ni dhahiri kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…