Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Duh....!, asante sana kwa taarifa, ngoja nifute fasta!.Mkuu, hii ifute kabla wateja wako wa uwakili hawajaiona, Judge Incharge Mahakama Kuu Masjala Ndogo Mwanza ni nani? Na pia alikuwa Jaji Incharge Mahakama Kuu Masjala NdogoBukoba akaacha madudu matupu huko.
Ingia google utakutana na mautumbo anayoandika katika hukumu. Anafuta mwenendo wote wa shauri wa mahakama ya chini, halafu anatumia mwenendo huo huo kutoa uamuzi na kutangaza mshindi
Nchi ina majaji wa hovyo snMbombo ngafu., Kwa nini awafuate CCM? Sio TLP au Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu, au wakuu wa mikoa?
View attachment 2821320
Mkuu Kuna wakati Tulia tu Utunze heshima Yako..😅😅Nimemsikia!, kwanza Tanzania hatujawahi kuwa na Jaji Mtemi Ramadhani, Jaji ni Agustino Ramadhani. Mtemi Ramadhan alikuwa mchezaji wa Simba, kisha kiongozi wa Simba kisha kiongozi wa FAT.
P
Jamaa hawatambui high profile ya watu walioko katika tasnia yake. Maajabu.Mkuu Kuna wakati Tulia tu Utunze heshima Yako..[emoji28][emoji28]
Wewe ni Very Respected Person kwenye Jamii..
Ukichangia hivi tutashindwa kukuelewa..
Jaji Ntemi humjui!?...
Inasikitisha kuona wewe kama Advocate na Mwana Habari Mwandamizi humjui
mh ukifika feb uko hukoo mmh una nyota aisee..hiiMbombo ngafu., Kwa nini awafuate CCM? Sio TLP au Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu, au wakuu wa mikoa?
View attachment 2821320
Unafikiri ma adivoketi wote wanawajua majaji wote?. Japo mimi ni adivoketi ila Mahakamani sijawahi kukanyanga na Jaji Mtemi Ramadhan sijabahatika kumfahamu!, na kutomfahamu Jaji yeyote au mtu yeyote sio kosa kisheria!, kuna mahali ndani ya JMT kwao rais ni Nyerere, Nyerere wa sasa ni Samia!.Mkuu Kuna wakati Tulia tu Utunze heshima Yako..😅😅
Wewe ni Very Respected Person kwenye Jamii..
Ukichangia hivi tutashindwa kukuelewa..
Jaji Ntemi humjui!?...
Inasikitisha kuona wewe kama Advocate na Mwana Habari Mwandamizi humjui
Hakuna ajabu yoyote, hata Yesu pia hakutambuliwa na kusulubishwa, hivyo ni kweli hawa majaji wa voda fasta, kiukweli kabisa sijabahatika kuwatambua wote!.Jamaa hawatambui high profile ya watu walioko katika tasnia yake. Maajabu.
Pengine ameterezaJamaa hawatambui high profile ya watu walioko katika tasnia yake. Maajabu.
Mkuu Jaji Ntemi ni Moja ya Majaji wanaotambulika sana..Hakuna ajabu yoyote, hata Yesu pia hakutambuliwa na kusulubishwa, hivyo ni kweli hawa majaji wa voda fasta, kiukweli kabisa sijabahatika kuwatambua wote!.
P
Najua katika kuongea Siwez kushindana na mwanasheriaUnafikiri ma adivoketi wote wanawajua majaji wote?. Japo mimi ni adivoketi ila Mahakamani sijawahi kukanyanga na Jaji Mtemi Ramadhan sijabahatika kumfahamu!, na kutomfahamu Jaji yeyote au mtu yeyote sio kosa kisheria!, kuna mahali ndani ya JMT kwao rais ni Nyerere, Nyerere wa sasa ni Samia!.
P
Ntaichukulia Hii comments kama umeteleza Ndugu ADIVOKETI wangu...Unafikiri ma adivoketi wote wanawajua majaji wote?. Japo mimi ni adivoketi ila Mahakamani sijawahi kukanyanga na Jaji Mtemi Ramadhan sijabahatika kumfahamu!, na kutomfahamu Jaji yeyote au mtu yeyote sio kosa kisheria!, kuna mahali ndani ya JMT kwao rais ni Nyerere, Nyerere wa sasa ni Samia!.
P
Mkuu Daktari, hakuna kushindana bali ni mtu tuu kuwa honest, unakuwa hujui tuu vitu vingi, mimi mpaka sasa japo ni mwanasheria,;bado nawashangaa sana wanasheria waliofanya madudu haya Madudu haya ya ajabu ya kisheria yaliweza kufanyika vipi wakati tuna Wanasheria? na haya Madudu ya ajabu ya ubatili wa Katiba yetu, mabadiliko "fake" ya sheria na Tume ya Uchaguzi, Rais Samia asilaumiwe kwasababu yeye sio mwanasheria!. lakini wenyewe wanajiona wako right kabisa!.Najua katika kuongea Siwez kushindana na mwanasheria maana mimi Daktari tu. Mkuu
Shukrani sana..Mkuu Daktari, hakuna kushindana bali ni mtu tuu kuwa honest, unakuwa hujui tuu vitu vingi, mimi mpaka sasa japo ni mwanasheria,;bado nawashangaa sana wanasheria waliofanya madudu haya Madudu haya ya ajabu ya kisheria yaliweza kufanyika vipi wakati tuna Wanasheria? na haya Madudu ya ajabu ya ubatili wa Katiba yetu, mabadiliko "fake" ya sheria na Tume ya Uchaguzi, Rais Samia asilaumiwe kwasababu yeye sio mwanasheria!. lakini wenyewe wanajiona wako right kabisa!.
P
Kuteleza ni kutokujua kwa bahati mbaya, kutokujua kitu sio kuteleza ni kuwa mjinga tuu, ukiisha julishwa ujinga unakutoka!Ntaichukulia Hii comments kama umeteleza Ndugu ADIVOKETI wangu...
Pascal Mayalla yuko sahihi, hakuna Jaji Ntemi Ramadhan ila kuna Jaji Dkt. Ntemi Nimilwa Kilekamajenga.Mkuu, hii ifute kabla wateja wako wa uwakili hawajaiona, Judge Incharge Mahakama Kuu Masjala Ndogo Mwanza ni nani? Na pia alikuwa Jaji Incharge Mahakama Kuu Masjala NdogoBukoba akaacha madudu matupu huko.
Ingia google utakutana na mautumbo anayoandika katika hukumu. Anafuta mwenendo wote wa shauri wa mahakama ya chini, halafu anatumia mwenendo huo huo kutoa uamuzi na kutangaza mshindi
Mkuu maana yake ..unatafutiwa kosa dogo tuu .. Unavuliwa uwakiliKama itathibitisha tuhuma hizo, sioni shida, ni sawa tu.