Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Kama huwatambui kwa nini ulisema ni mchezaji wa mpira comment yako ya kwanza umeandika as if unamjua umekuja kuumbuliwa unatafuta utetezi wa kijingaHakuna ajabu yoyote, hata Yesu pia hakutambuliwa na kusulubishwa, hivyo ni kweli hawa majaji wa voda fasta, kiukweli kabisa sijabahatika kuwatambua wote!.
P
Na hii inaonyesha watu mnasomea ili mpate vyeti na sio elimu