Humphrey Polepole: Jaji Ntemi alitufuata CCM akatuomba tumpelekee orodha ya Mawakili tunaotaka wafungiwe

Mtu unakuwaje hujielewi kiasi hiki!!? Maana huu uhuni alipaswa aufanye siri.
Mkuu hapa Tanzania ...hata bila kufanya siri mambo yanaonekana kwa macho ...

Kuna mkurugenzi flani tunajuana naye ...tulimuuliza hivi hapa eneo lako CCM walishindaje Uchaguzi kwa kupata madiwani 22, na mbunge juu ..
Akapiga kimya ...

Baada ya miaka 2 akaropoka ..familia yangu ingepotea kama nisingefanya faulo na pia nilipigiwa simu na Polepole akinionya kwamba Chama kwanza ..familia yako baadae..

Hivyo maagizo mengi ya kihuni yanaonekana kwa macho ..

Nikulipe mshahara Mimi halafu utangaze mpinzani kashinda ...uliona wapi
 
Mbombo ngafu, Kwanini awafuate CCM? Sio TLP au Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu, au wakuu wa mikoa?

Humphrey Polepole Machi 6 2021, aliwahi kusema kuwa Jaji Ntemi aliwatafuta CCM akafungua milango kama kuna mawakili wanawasumbua watanzania basi wao(CCM) wapokee taarifa za Mawakili hao na wawapelekee wao (Kamati ya maadili ya Mawakili), na kama tuhuma zitathibitika basi mtuhumiwa atafutiwa Uwakili mara moja ili mtu huyo akafanye kazi nyingine.

View attachment 2821320
Kuna ibayya gami? KuziRaisaliwaomba viongozi wa chama watoe maoni yao kuhusu Katiba, kwa nini hakuwaomba Wasabato au Walokole? Maoni ni maoni tu haja yake ni
kuboresha. What is the big deal?
 
The man is more than correct
Kuna mchakato anauelezea kuhusu vikao na uchunguzi ndio ije maamuzi
Siioni shida hapo jaji yupo sawa
Kutetea ujinga kunahitaji uwe na kiwango Fulani cha upumbavu.
 
Kuna ibayya gami? KuziRaisaliwaomba viongozi wa chama watoe maoni yao kuhusu Katiba, kwa nini hakuwaomba Wasabato au Walokole? Maoni ni maoni tu haja yake ni
kuboresha. What is the big deal?
Bado hamjasema ..mpaka mseme
 
Mbombo ngafu, Kwanini awafuate CCM? Sio TLP au Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu, au wakuu wa mikoa?

Humphrey Polepole Machi 6 2021, aliwahi kusema kuwa Jaji Ntemi aliwatafuta CCM akafungua milango kama kuna mawakili wanawasumbua watanzania basi wao(CCM) wapokee taarifa za Mawakili hao na wawapelekee wao (Kamati ya maadili ya Mawakili), na kama tuhuma zitathibitika basi mtuhumiwa atafutiwa Uwakili mara moja ili mtu huyo akafanye kazi nyingine.

View attachment 2821320
Nchi hii ipo mikononi mwa watu wa hovyo sana
 
Tunayajua sana haya, kila idara inaendeshwa na CCM, uhamisji, polisi,nk
 
Back
Top Bottom