Humphrey Polepole: Jaji Ntemi alitufuata CCM akatuomba tumpelekee orodha ya Mawakili tunaotaka wafungiwe

Hakuna ajabu yoyote, hata Yesu pia hakutambuliwa na kusulubishwa, hivyo ni kweli hawa majaji wa voda fasta, kiukweli kabisa sijabahatika kuwatambua wote!.
P
Kama huwatambui kwa nini ulisema ni mchezaji wa mpira comment yako ya kwanza umeandika as if unamjua umekuja kuumbuliwa unatafuta utetezi wa kijinga
Na hii inaonyesha watu mnasomea ili mpate vyeti na sio elimu
 
Inasikitisha sana, mambo ya serikali ndivyo yalivyo...
 
Duh,
Huu mhimili wa mahakama na ule wa Bunge vimegeuka matawi ya sisiemu, imekosa weledi na haina tija kwa wananchi
 
Halafu ndiyo wapumbavu wa CCM wanasema kama mnaona kuna wizi wa kura nendeni mahakamani sasa majaji wenyewe ndiyo hawa kuna mahakama tena Tanzania?
 
Walianza polisi kugeuka majambazi kuwaibia raia kisha kuwaua tukirejea kesi ya Zombe na hii ya sasa ya Polisi kule Lindi, sasa imekuwa zamu ya majaji na mahakimu kuwa majambazi kupitia mahakama.
 
Kama huwatambui kwa nini ulisema ni mchezaji wa mpira comment yako ya kwanza umeandika as if unamjua umekuja kuumbuliwa unatafuta utetezi wa kijinga
Na hii inaonyesha watu mnasomea ili mpate vyeti na sio elimu
Duh humu ndani siku hizi madogo wengi mpaka basi, Tanzania Mtemi Ramadhan maarufu ni yule mchezaji wa Simba!, Jaji Mtemi Ramadhan ndio namsikia leo!. Sio kila aliyesomea sheria amefuata cheti!. Nime graduate 2007 cheti nimepewa 2017 , uwakili nimepewa 2022 na sijakanyaga mahakamani!.
P
 
Hivi mayala uanasheria wake ni wa makaratasi baada ya kuhitimu
Au ,maana sijawahi muona kwenye pilika pilika hapo mahakamani [emoji1]

Ova
 
Ni jaji NTEMI not MTEMI

Ova
 
The man is more than correct
Kuna mchakato anauelezea kuhusu vikao na uchunguzi ndio ije maamuzi
Siioni shida hapo jaji yupo sawa

Huyo Jaji kakosea sana. Kwa mfumo wetu wa mahakama Jaji ni adversarial, hatakiwi kuomba kesi Bali analetewa kesi. Sasa Jaji anaenda CCM na kuwaomba wamletee kesi inaonekana Kuna shida. Ndio maana akina Fatma Karume alifutiwa uwakili kisa ujinga Kama huu. CCM kama chama tawala kitapeleka majina ya mawakili wanaoikosoa.
 
Mungu ibariki JF
 
Sio utoto usipende kuwa mjuaji wa kila kitu ilihali kuna mambo huyajui
 
I hoped judges are independent and professional! But this one shows the true picture of our corrupt systems! So where do we go? what do we do? In order to get our rights? ALARM!!! ALARM!! ALARRRRRRm!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…