Na wakapitishwa kwenye mchujo na kugombea urais kupitia ccm? au sioMbona Sumaye, Lowassa alichukua fomu?
Na wakapitishwa kwenye mchujo na kugombea urais kupitia ccm? au sioMbona Sumaye, Lowassa alichukua fomu?
Hili ndio nimeondoka nalo mimi! Na nitalitunza kwa wivu mkubwa!Polepole atufumbua macho ndani ya CCM kuwa wanataratibu zao kama ulishakuwa Spika, Waziri Mkuu au Makamo wa Rais hutakiwi kuchukuwa fomu ya kugombea Urais.
Ina maana kijiti alichonacho leo kushika uraisi alitakiwa asichukue fomu.
Ishu ni kuchukua fomu au kupita?Walipita?
Kuchukua ni jambo lingine na kupita ni jambo lingine? Ni haki yake kuchukua ila kupita kama mgombea ndio ngumuIshu ni kuchukua fomu au kupita?
Kama chama kilikuwa na hilo katazo basi fomu wasingepewa
Kama ungekuwa ni utaratibu rasmi wa CCM basi hata hizo fomu wasingepewa na chamaNa wakapitishwa kwenye mchujo na kugombea urais kupitia ccm? au sio
Ni katiba inasema hivyo au ni msimamo wa wahuni wachache kama yeye na Magufuli?Kupita
Kipindi Sumaye anachukua fomu, Magufuli akiwa rais au mgombea?Ni katiba inasema hivyo au ni msimamo wa wahuni wachache kama yeye na Magufuli?
Bas samia nae achukue form na wenzie kwani kuna shida gani hadi aogope ku battle na wenzakeKama ungekuwa ni utaratibu rasmi wa CCM basi hata hizo fomu wasingepewa na chama
Hakusema hawaruhusiwi kuchukua fomu ya kugombea.Anajitoa ufahamu Polepole
Kwani form yenyewe huko ccm kachukua basi, kajiteua na kujitangaza mgombea pekee, saiz anadhoofisha upinzani ili aendelee kula mema ya inchi haijalishi anafuata au hafuati utaratibuPolepole atufumbua macho ndani ya CCM kuwa wanataratibu zao kama ulishakuwa Spika, Waziri Mkuu au Makamo wa Rais hutakiwi kuchukuwa fomu ya kugombea Urais.
Ina maana kijiti alichonacho leo kushika uraisi alitakiwa asichukue fomu.
Tz imepata utawala wa hovyo sana hii awamu ya sitaKwani form yenyewe huko ccm kachukua basi, kajiteua na kujitangaza mgombea pekee, saiz anadhoofisha upinzani ili aendelee kula mema ya inchi haijalishi anafuata au hafuati utaratibu
Ndio maana nikauliza huo utaratibu umeanza lini, au baada ya Magufuli kuwa Rais?Kipindi Sumaye anachukua fomu, Magufuli akiwa rais au mgombea?
Alisemaje?Hakusema hawaruhusiwi kuchukua fomu ya kugombea.
Na walichuka peke yao,yani wakawa wagombea pekee,au walichukua na wenzao alafu ukafanyika mchujoNdio maana nikauliza huo utaratibu umeanza lini, au baada ya Magufuli kuwa Rais?
Maana huko Nyuma Mwinyi alikuwa Makamu wa Rais na akawa Rais, Pinda, Lowassa, Sumaye nao wote walichukua fomu na wakapewa.
Kupita sio kuchukua, walisimamishwa na chama kuwa wagombea?Ndio maana nikauliza huo utaratibu umeanza lini, au baada ya Magufuli kuwa Rais?
Maana huko Nyuma Mwinyi alikuwa Makamu wa Rais na akawa Rais, Pinda, Lowassa, Sumaye nao wote walichukua fomu na wakapewa.
Hoja ni ipi sasa,kuwa Samia alichukua fomu ambayo hakutakiwa kuchukua au hakuchukua kabisa?Bas samia nae achukue form na wenzie kwani kuna shida gani hadi aogope ku battle na wenzake
Kasema Kwa tamaduni za Chama chao, mtu akishika nafasi hizo hawezi kuwa Rais Kwa sababu alishakuwa kwenye nafasi za kimaamuzi hivyo kwenye mijadala ya vikao vyao huonekana awawezi kuleta jambo jipya.Alisemaje?
WALAFI WA MADARAKAPolepole atufumbua macho ndani ya CCM kuwa wanataratibu zao kama ulishakuwa Spika, Waziri Mkuu au Makamo wa Rais hutakiwi kuchukuwa fomu ya kugombea Urais.
Ina maana kijiti alichonacho leo kushika uraisi alitakiwa asichukue fomu.
Walipitishwa?Mbona Sumaye, Lowassa alichukua fomu?