Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Point ni kwa kufuata maelezo yake, CCM ukiwa kwenye nafasi hizo unatakiwa ionekane una jambo la ziada tofauti na ulipokuwa kwenye nyadhifa hizo mpaka uteuliwe.Ukishasema si rahisi maana yake inawezekana ila si rahisi, so what is his point?
Na Kwa tamaduni hizo hizo Kila baada ya miaka 5 ya mwisho wa Rais aliyeko madarakani, CCM huona vyema waliofanya nae kazi watoke Kwa pamoja ili safu ijayo iwe na watu wapya.
Na kasema hayo hufanyika kwenye vikao vya mchujo.