Aiseee, haya maneno yako haPa yamenigusa sana hisia zangu.Huyu anatetea Chama chake?. Nafasi ya urais ateuliwe mgombea mwengine au anataka misingi ya haki ya Watanzania wote?
Aiseee, haya maneno yako haPa yamenigusa sana hisia zangu.Huyu anatetea Chama chake?. Nafasi ya urais ateuliwe mgombea mwengine au anataka misingi ya haki ya Watanzania wote?
Basi kamq sio mwanaCCM tulia"Mwana CCM"?
Huko ndani ya kasha la CCM chini ya GENGE, bado unauliza habari za mwana ccm?
Inasaidia kitu gani kuwa mwana ccm?
Mzee Idrisa Abdulwakil alikuwa Spika wa Baraza la wawakilishi Zanzibar na CCM wakati wa Mwalinu walimpitusha kugombea uraisi Zanzibar, jee hii Polepole amesahauwalienguliwa kama wagombea wengine alivyoenguliwa sababu mgombea anatakiwa kuwa mmoja tu, au hao wengine walienguliwa pia walikuwa na hivyo vyeo?
Wewe ni mwana GENGE, hilo linajulikana, kwa hiyo huna haki yoyote juu ya CCM.Basi kamq sio mwanaCCM tulia
Tatizo ni selective memory. Au kama alivyosema Paul SimonMzee Idrisa Abdulwakil alikuwa Spika wa Baraza la wawakilishi Zanzibar na CCM wakati wa Mwalinu walimpitusha kugombea uraisi Zanzibar, jee hii Polepole amesahau
Hoja yako umesema serikali au chama hakiwezi kuendeshwa kwa tamaduni au busara, ndio Mimi nikakutolea mmfano wa hiyo tamaduni ya form moja, sio katiba ya ccm Wala sheria inaruhusu lakini wanaishi hivyo kwa hiyo tamaduni. Hivyo ulichosema hakikua sahihiHilo ndilo tatizo.
Kama kuna umuhimu sana wa kutolewa fomu moja tu, jambo hilo liwekwe kwenye katiba liwe wazi kikatiba.
Haya mambo ya utamaduni ndiyo mwanzo wa kuzua habari kiholela kwa sababu ya chuki binafsi na mtu mmoja halafu kusema ni suala la utamaduni.
Mfano, mtu anasemaje hatuna utamaduni wa VP kuwa rais wakati Mwinyi alikuwa VP na akawa rais?
Ukitumia point ya utamaduni hata habari za Polepole kusema utaratibu haukufuatwa kumpata Samia kama mgombea zinakosa nguvu.
Utaratibu gani ufuatwe wakati utamaduni unasema rais aliyepo madarakani hapingwi?
Labda hatujaelewana.Hoja yako umesema serikali au chama hakiwezi kuendeshwa kwa tamaduni au busara, ndio Mimi nikakutolea mmfano wa hiyo tamaduni ya form moja, sio katiba ya ccm Wala sheria inaruhusu lakini wanaishi hivyo kwa hiyo tamaduni. Hivyo ulichosema hakikua sahihi
Hiki umeandika ukikisoma tena utajidharau, hakieleweki alafu unajichanganyaLabda hatujaelewana.
Wewe umetafsiri "hakiwezi" kama natural law of physics kwamba haiwezekani serikali au chama kuendeshea jwa utamaduni.
Sijamaanisha hivyo.
Unaweza kuendesha serikali au chama bila katiba kw akutumia utamaduni na desturi tu.
Nilichomaanisha ni kwamba "government move on paper". Nchi au chama kinaendeshwa kwa katiba na sheria.
Kwenye habari za utamaduni kama kuna kitu muhimu sana, kiwekwe kwenye katiba.
Kuweka kwenye katiba kutasaidia.
1. Kitu kisiwe na utata wa tafsiri. Mambo yaliyoandikwa yako wazi zaidi ya mambo ambayo hayajaandikwa yanafikirika tu.
2. Kukaa vikao vya kupitisha mambo. Mambo yanayoandikwa kikatiba yanapitishwa na vikao na tunajua nani kakubali nini. Mambo ya utamaduni yanaweza kulazinishwa na wachache tu bila kujali maoni ya wengi.
3. Mambo yawe ya uwazi. Mambo yakiandikwa kikatiba ukitaka kuyarejea utapewa kifungu hiki na kile cha katiba. Ambacho hakina ubishi kwamba kipo kwenye katiba na kimepitishwa na vikao gani. Na ikifikia muda wa kukibadikisha inaeleweka kikao gani kikae kukibadikisha. Jambo la utamaduni halina uwazi limeandikwa wapi, limepitishwa na nani, muda wa kulibadikisha ukifika linabadikishwa vipi. Ni kichaka za kupitia mambo mengi mabaya.
Hapa ndio inakuja point nyingine ya hoja ya Polepole kama Hatufati utamaduni, kwa nini tusiwe na wagombea zaidi ya huyu Mama, tuwachujeKwanza kabisa nchi na chama haviendeshwi kwa tamaduni na desturi, vinaendeshwa kwa katiba.
Kama kitu ni muhimu sana, wakiweke katika katiba. Kusiwe na shida ya habari zisizoandikwa kikatiba. Mambo ya utamaduni kila mtu anaweza kusema yake.
Waweke katika katiba kuwa mtu akiwa VP, PM, Spika hatakiwi kuwa rais.
VP ndiye backup ya rais. Rais akifariki, kikatiba, VP automatically anaapishwa kuwa rais. Kimsingi ukimchagua mtu VP umemchagua kuwa rais wakati wowote. Alivyofariki JPM Samia alipata kuwa rais kikatiba bila hata uchaguzi.
Sasa hapo unasemaje VP hatakiwi kugombea urais wakati ukimchagua mtu VP tayari umempitisha kuwa rais wakati wowote?
Halafu makamu wa rais wa awamu ya tano kapewa fomu moja tuu.Mbona Sumaye, Lowassa alichukua fomu?
Itakuwa vizuri ukifafanua point zako.Hiki umeandika ukikisoma tena utajidharau, hakieleweki alafu unajichanganya
Yuko sahihi sasa hata wewe Imagin mtu kama Tulia, Majaliwa au Samia hata wewe unaeza mpa kura. Kwa jipya gan unalotegemea?Yuko sahihi.
Kama ulishindwa kuleta maendeleo kwenye nafasi hizo Urais hautauweza!
WAlichukua fomu kwa kupitia chama kipi?? 🤔Mbona Sumaye, Lowassa alichukua fomu?
Sasa hapo ndipo naona contradiction.Hapa ndio inakuja point nyingine ya hoja ya Polepole kama Hatufati utamaduni, kwa nini tusiwe na wagombea zaidi ya huyu Mama, tuwachuje
Leo nimenunulia watu bia kreti 3, konyagi trump 3, Sungura katoni 3.. Namtafuta na britanicca nimpe kilaji mpaka aombe poh...!😂Polepole atufumbua macho ndani ya CCM kuwa wanataratibu zao kama ulishakuwa Spika, Waziri Mkuu au Makamo wa Rais hutakiwi kuchukuwa fomu ya kugombea Urais.
Ina maana kijiti alichonacho leo kushika uraisi alitakiwa asichukue fomu.