GE2025 Humphrey Polepole: Kama ulishakuwa Spika, Waziri Mkuu, au Makamu wa Rais hutakiwi kugombea urais

GE2025 Humphrey Polepole: Kama ulishakuwa Spika, Waziri Mkuu, au Makamu wa Rais hutakiwi kugombea urais

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kupita sio kuchukua, walisimamishwa na chama kuwa wagombea?

Kumbuka Sumaye alikuwa PM wa Mkapa, kulikuwa na loophole kubwa ya kusimamishwa na chama, je alisimamishwa kama mgombea?
walienguliwa kama wagombea wengine alivyoenguliwa sababu mgombea anatakiwa kuwa mmoja tu, au hao wengine walienguliwa pia walikuwa na hivyo vyeo?
 
Polepole atufumbua macho ndani ya CCM kuwa wanataratibu zao kama ulishakuwa Spika, Waziri Mkuu au Makamo wa Rais hutakiwi kuchukuwa fomu ya kugombea Urais.

Ina maana kijiti alichonacho leo kushika uraisi alitakiwa asichukue fomu.
Mbona Lowasa na Pinda walichukua fomu 2015 hizi taratibu hawakuzijua?
 
Polepole atufumbua macho ndani ya CCM kuwa wanataratibu zao kama ulishakuwa Spika, Waziri Mkuu au Makamo wa Rais hutakiwi kuchukuwa fomu ya kugombea Urais.

Ina maana kijiti alichonacho leo kushika uraisi alitakiwa asichukue fomu.
Kwahiyo mama hakutakiwa kugombea
 
Kasema Kwa tamaduni za Chama chao, mtu akishika nafasi hizo hawezi kuwa Rais Kwa sababu alishakuwa kwenye nafasi za kimaamuzi hivyo kwenye mijadala ya vikao vyao huonekana awawezi kuleta jambo jipya.
Utaratibu umeandikwa popote au ni whims tu za watu wachache....Maana kuwa makamu wa Rais na kuwa Rais ni vitu viwili tofauti kabisa, hata Mawaziri wanakuwa kwenye vikao vya maamuzi, lakini mwenye uamuzi wa mwisho ni Rais, so na wao hawatakiwi kugombea?
 
Polepole atufumbua macho ndani ya CCM kuwa wanataratibu zao kama ulishakuwa Spika, Waziri Mkuu au Makamo wa Rais hutakiwi kuchukuwa fomu ya kugombea Urais.

Ina maana kijiti alichonacho leo kushika uraisi alitakiwa asichukue fomu.
Kwa nini wasitakiwe kugombea urais wakati katiba inawaruhusu?
 
Wanaanza kavuana nguo wao kwa wao,
Vita ya panzi..... Hii ni Fursa.
 
Utaratibu umeandikwa popote au ni whims tu za watu wachache....Maana kuwa makamu wa Rais na kuwa Rais ni vitu viwili tofauti kabisa, hata Mawaziri wanakuwa kwenye vikao vya maamuzi, lakini mwenye uamuzi wa mwisho ni Rais, so na wao hawatakiwi kugombea?
Makamu wa Rais si sawa na Waziri wa kawaida..

Waziri Mkuu si sawa na Waziri wa kawaida.

Spika wa bunge si sawa na mbunge wa kawaida.

Wanapotajwa viongozi wakuu wa Serikali na Bunge ndiyo hao.

Na yeye hakuna mahali kasema Kwa mujibu wa Katiba ya CCM, bali tamaduni zao zipo ivo na akasema ifuatiliwe historia tangu huko nyuma mfumo wa vyama vingi ulipoanza
 
Anajitoa ufahamu Polepole
CCM Iliwateua kugombea!? Nadhan hiyo ni sawa Kipindi cha pili cha jakaya kuna jamaa aitwae shibuda pia alichukua fomu ya kuwania kuteuliwa kuwa mgombea wa Urais kupitia CCM, japokuwa CCM wenyewe Wana utaratibu wa kumwachia incumbent amalizie term ya pili...so technically,it is not written anywhere but it is there in their Traditions.
 
Samia anaforce tu kwa sababu ana mamlaka lakini yule mama hapendeki iwe ni ndani ya chama ama nje ya chama
Inaonekana kulikuwa na mpango wa kutompitisha ndiyo maana akawashtukia na propably ni Kikwete alimpa maarifa. Lakini hata akifanikiwa utawala wake utakuwa mgumu sana sana kwa sababu wengi hawampendi.
 
Polepole atufumbua macho ndani ya CCM kuwa wanataratibu zao kama ulishakuwa Spika, Waziri Mkuu au Makamo wa Rais hutakiwi kuchukuwa fomu ya kugombea Urais.

Ina maana kijiti alichonacho leo kushika uraisi alitakiwa asichukue fomu.
Spika, waziri mkuu, makamu ,Mmoja au wawili wanaunga mkono juhudi za kaka😂😂
 
I think his point is one of the named office holders managed to sail through without being challenged by other interested members by foul play .
But that is a different point, about an individual, not about the offices of the VP, PM, Speaker, etc and their officeholders .

Why is it so hard to see that these are two different points?
 
Back
Top Bottom