Humphrey Polepole: Kazi ya shule ya uongozi itawafurahisha wenye mamlaka, ukiona unataka kuruka na mimi kwenye mtandao ujue wewe sio kiongozi

Ukweli ni kwamba huyu jamaa kavurugwa njia ya milembe nyeupe soon!
 
Nakuelewa sana polepole!
Ni wapumbavu tu ndio watakuona waajabu!
 
Hiko kipindi alitakiwa akiongoze kipindi kile akiwa katibu mwenezi
 
🀣🀣🀣🀣🀣 ebu agiza tonic ya baridi nakuja kukulipia hivi vijamaa sijui vina ubungo wa myama gani
 
Ukinyanganywa ugali lazima ulielie

Ova
 
Hahahahahah

Labda anajaribu kurudi namba 1
 
Huyu ni Musiba wa serikali ya awamu ya sita ila kaja kwa style tofauti na Musiba wa serikali ya awamu ya tano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…