Humphrey Polepole kesho Agosti 21 kuongea na taifa ikiwa maoni yake hayatafanyiwa kazi

Ni kwamba leo ameongea kiduchu kwa kusisitiza kuwa ni mhimu wenye mamalaka kuacha kushupaza shingo wao ni wadogo kuliko taifa wawe na hofu ya mungu kwani kundi la mtandao halina nia njema na taifa letu.
Kwani pole pole ndiye taifa?
 
Ni kwamba leo ameongea kiduchu kwa kusisitiza kuwa ni mhimu wenye mamalaka kuacha kushupaza shingo wao ni wadogo kuliko taifa wawe na hofu ya mungu kwani kundi la mtandao halina nia njema na taifa letu.
Polepole ni bloody idiot (kwa sauti ya Mzee Mugabe Jongwe).
 
Haswa kuliko kuja na Ngonjera kila mara sijui hiki mara kile abutue sufuria la supu ya utumbo tuhangaike pa kupata supu.
Inabidi kwanza watanzania waelimishwe kinachoendelea kabla ya kubutua sufuria, ili likibutuliwa wote wajue sababu watoe support, yasijekuwa yale ya "ririkuwa rikipambana na maporisi tukarishinda".
 
Ni kwamba leo ameongea kiduchu kwa kusisitiza kuwa ni mhimu wenye mamalaka kuacha kushupaza shingo wao ni wadogo kuliko taifa wawe na hofu ya mungu kwani kundi la mtandao halina nia njema na taifa letu.
kubabaika na huo msukule ni kukosa kazi au tu ni sehemu ya kupotezae muda

daima huo msukule hueleza nonsense tupu 🐒
 
Back
Top Bottom