Humphrey Polepole kesho Agosti 21 kuongea na taifa ikiwa maoni yake hayatafanyiwa kazi

Humphrey Polepole kesho Agosti 21 kuongea na taifa ikiwa maoni yake hayatafanyiwa kazi

Haswa kuliko kuja na Ngonjera kila mara sijui hiki mara kile abutue sufuria la supu ya utumbo tuhangaike pa kupata supu.
Abutue sufuria la supu,sasa si itakua patashika?, yaani tukose wote kuambulia hata kajimnofu!! 😄😄😂😂
 
21 August 2025

Stay Tuned /mkae mkao wa kutulia jioni ya leo shughuli zote zihairishwe

Pashapasha moto kupitia ngoma kali ya Kuwakataa Wahuni ipo hewani wanati timu inafanya :

CHECKING MICROPHONES AND CAMERA ANGLES RIGHT NOW BEFORE LIVE STREAMING


View: https://m.youtube.com/watch?v=qx0mAaL9P7c
 
Back
Top Bottom