Humphrey Polepole kesho Agosti 21 kuongea na taifa ikiwa maoni yake hayatafanyiwa kazi

Humphrey Polepole kesho Agosti 21 kuongea na taifa ikiwa maoni yake hayatafanyiwa kazi

Polepole anajiamini nini? Awamu hii kaongea kidogo ila kuna watu( kama msajiri na mwingine akumtaja jina wala cheo) aliwapigia simu kufikisha ujumbe wake saa mia moja
Umemsikiliza kwa makini
 
Ni kwamba leo ameongea kiduchu kwa kusisitiza kuwa ni mhimu wenye mamalaka kuacha kushupaza shingo wao ni wadogo kuliko taifa wawe na hofu ya mungu kwani kundi la mtandao halina nia njema na taifa letu.
Ccm will push forward with its plan. Sitegemei mabadiliko.
 
Wana Mtandao CCM wameendelea kushupaza shingo yaani wamemshikilia mama hawataki kumwachia - wacha tuone ka mchezo kamefikia patamu sana, huku nako Gwaj boy na yeye zimebakia siku 7 amwage upupu.
Lissu na yeye anataka Mama Mahakama kuu akatoe ushahidi kwamba alitishiwa kuporwa nchi.
Huku nako siku za upigaji kura zinayoyoma.
Ndugu zangu tuendelee kunywa supu nyama tunazikaribia.
Yaani mambo ni mengi....mparaganyiko.
 
Hili la jamaa kuuza silaha kwa wauza ngada Mexico kama alipewa nyaraka au watu kufoji huku basi sahv jamaa matumbo joto
Kama pesa ulipata unaiona ya moto

Ova
Trump anaikomboa Dunia...
 
A
Ni kwamba leo ameongea kiduchu kwa kusisitiza kuwa ni muhimu wenye mamalaka kuacha kushupaza shingo wao ni wadogo kuliko taifa wawe na hofu ya Mungu kwani kundi la mtandao halina nia njema na taifa letu.
Amenikumbusha mchezo wa utotoni (mtu na mdogo wake) usipofanya hiki nitakusema kwa baba/mama. Mwambie aache utoto.
 
Back
Top Bottom