Tajiri wa kinyankole
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,977
- 4,912
👇👇👇👇😳😳😳I can't wait to watch coming episode.
Kama ile ya KIFO NI KIFO TU..Walio mezani hawezi kumsikiliza Polepole, hata hiyo taharuki anayopanga kuitoa kama kawaida yao watasema “ni upepo tu utapita”.
Kikubwa watu waendelee kuelimishwa, amini kwamba huu upepo utapita na watu.Walio mezani hawezi kumsikiliza Polepole, hata hiyo taharuki anayopanga kuitoa kama kawaida yao watasema “ni upepo tu utapita”.
Kwani pole pole ndiye taifa?Ni kwamba leo ameongea kiduchu kwa kusisitiza kuwa ni mhimu wenye mamalaka kuacha kushupaza shingo wao ni wadogo kuliko taifa wawe na hofu ya mungu kwani kundi la mtandao halina nia njema na taifa letu.
Ni kwamba leo ameongea kiduchu kwa kusisitiza kuwa ni mhimu wenye mamalaka kuacha kushupaza shingo
Call Slow slow in advance to be onboardI can't wait to watch coming episode.
Polepole ni bloody idiot (kwa sauti ya Mzee Mugabe Jongwe).Ni kwamba leo ameongea kiduchu kwa kusisitiza kuwa ni mhimu wenye mamalaka kuacha kushupaza shingo wao ni wadogo kuliko taifa wawe na hofu ya mungu kwani kundi la mtandao halina nia njema na taifa letu.
Hapana taifa ni rostam azizi na yale masingasinga yaliyochqngia kampeni za ccm pale mlimani City. Yale magabachori wanaokwepa kodi na kuhujumu uchumi wa taifa.Kwani pole pole ndiye taifa?
Unaweza kuwawewe ndiye idiot halisi.Polepole ni bloody idiot (kwa sauti ya Mzee Mugabe Jongwe).
Yap yap, sure thing!Call Slow slow in advance to be onboard
Haswa kuliko kuja na Ngonjera kila mara sijui hiki mara kile abutue sufuria la supu ya utumbo tuhangaike pa kupata supu.Mamlaka haiwezi kufanya Yale Polepole anapendekeza, yeye angemwaga Mboga tu.
Dickhead!Unaweza kuwawewe ndiye idiot halisi.
Inabidi kwanza watanzania waelimishwe kinachoendelea kabla ya kubutua sufuria, ili likibutuliwa wote wajue sababu watoe support, yasijekuwa yale ya "ririkuwa rikipambana na maporisi tukarishinda".Haswa kuliko kuja na Ngonjera kila mara sijui hiki mara kile abutue sufuria la supu ya utumbo tuhangaike pa kupata supu.
kubabaika na huo msukule ni kukosa kazi au tu ni sehemu ya kupotezae mudaNi kwamba leo ameongea kiduchu kwa kusisitiza kuwa ni mhimu wenye mamalaka kuacha kushupaza shingo wao ni wadogo kuliko taifa wawe na hofu ya mungu kwani kundi la mtandao halina nia njema na taifa letu.