Humphrey Polepole kesho Agosti 21 kuongea na taifa ikiwa maoni yake hayatafanyiwa kazi

Haswa kuliko kuja na Ngonjera kila mara sijui hiki mara kile abutue sufuria la supu ya utumbo tuhangaike pa kupata supu.
Abutue sufuria la supu,sasa si itakua patashika?, yaani tukose wote kuambulia hata kajimnofu!! πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Haswa kuliko kuja na Ngonjera kila mara sijui hiki mara kile abutue sufuria la supu ya utumbo tuhangaike pa kupata supu.
Alafu airport , bandari na mipaka yote ifungwe....😁😁
 
21 August 2025

Stay Tuned /mkae mkao wa kutulia jioni ya leo shughuli zote zihairishwe

Pashapasha moto kupitia ngoma kali ya Kuwakataa Wahuni ipo hewani wanati timu inafanya :

CHECKING MICROPHONES AND CAMERA ANGLES RIGHT NOW BEFORE LIVE STREAMING


View: https://m.youtube.com/watch?v=qx0mAaL9P7c
 
SASA LIVE MUBASHARA

21 August 2025
Mtaa wa Kajificheni


View: https://m.youtube.com/watch?v=QhmqcI-asWcBaada ya changamoto ya usalama wa kimtandao, sasa ni saa 6 dakika 18 usiku imepindukia 22 Agosti 2025 tumeshinda changamoto za kuzuia mazungumzo haya, na sasa nipo hewani mazungumza ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…