Tetesi: Humphrey Polepole kumtembelea Tundu Lissu gerezani. Je wataenda kuteta nini?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Nikiwa mapumzikoni Dar niliamua kutembelea eneo la Kisutu.

Nikapita eneo ulipo mgahawa maarufu wa Zahir

Nimekuta wazee wakijadili juu ya hii ziara ya Polepole kwenda kumjulia hali shujaa mwenzake. Je watajadili nini?
 
Na wewe ukaamini hilo?

Pole pole hata moakani hawezi kuja watamfanya ndafu na kwa ile press alipoongelea ishu ya Lissu hawezi fanya hivyo hata kama angekua na uwezo.
 
Polepole kwa sasa ni kama digidigi,hawezi kuonekana hadharani bongo hii.😁
 
Nikiwa mapumzikoni Dar niliamua kutembelea eneo la Kisutu.

Nikapita eneo ulipo mgahawa maarufu wa Zahir

Nimekuta wazee wakijadili juu ya hii ziara ya Polepole kwenda kumjulia hali shujaa mwenzake. Je watajadili nini?
Umetukosea sana Idugunde kumlinganisha Baloz Polepole na Mh Tundu Lissu.

Hata kama Polepole ni Mzalendo lakini si wakukaa kapu moja na Lissu
 
Na wewe ukaamini hilo?

Pole pole hata moakani hawezi kuja watamfanya ndafu na kwa ile press alipoongelea ishu ya Lissu hawezi fanya hivyo hata kama angekua na uwezo.
Kasemaje kuhusu Lissu?
 
Nikiwa mapumzikoni Dar niliamua kutembelea eneo la Kisutu.

Nikapita eneo ulipo mgahawa maarufu wa Zahir

Nimekuta wazee wakijadili juu ya hii ziara ya Polepole kwenda kumjulia hali shujaa mwenzake. Je watajadili nini?
Ataenda lini wakati anaishi kama digidigi yeye na ndugu yake Gwajiboy?
 
Na wewe ukaamini hilo?

Pole pole hata moakani hawezi kuja watamfanya ndafu na kwa ile press alipoongelea ishu ya Lissu hawezi fanya hivyo hata kama angekua na uwezo.
Watamfanya nini.
 
Hivi kumbe mwanaccm nje ya ccm umaarufu na nguvu yake vinakufa kibudu? Sasa nguvu na ushujaa ule umeenda wapi?
Hakuna mtu maarufu kuliko ccm Kila siku wanawaambia ndio maana Kuna nidhamu sio sawa na hivyo Vyama vya vibaraka mnategemea mtu.
 
Hahahahahaha siasa bhanaa, wakati Lissu anapigwa risasi huyu slow slow alikua wapi ??
Utawala uliopita slow slow katumika saaana kununua wapinzani
Uchaguzi wa 2019 na 2020 kashiriki kwa kiasi kikubwa kuleta hawa viongozi waliopo madarakani kuanzia wabunge ambao ndo wamekua mawaziri
Leo hii anaonekana shujaa wakati ugomvi wake ni madaraka tuu kwenye Chama chao na akipata anachokitaka mambo yanakua yaleyalee
 
Nikiwa mapumzikoni Dar niliamua kutembelea eneo la Kisutu.

Nikapita eneo ulipo mgahawa maarufu wa Zahir

Nimekuta wazee wakijadili juu ya hii ziara ya Polepole kwenda kumjulia hali shujaa mwenzake. Je watajadili nini?

Acheni uongo jamaa yupo pwani ya miami florida USA kapumzika
 
Back
Top Bottom