Humphrey Polepole kuongea Star Tv saa 3:30 usiku

Mropokaji katika ubora wake.....

Huyu ni mkomunisti mpinga wadau wa maendeleo.....

CCM si chama cha kikomunisti......

Unawezaje kuwapinga DANIDA ,US AID ,NORDIC ,GTZ na wengineo?!!!!

Huyu jamaa bure kabisaaaa.....

#SiempreJMT
#NchiKwanza
 
Polepole anajua nchi ina marais wawili. Mmoja feki anayekaa mbelembele , mwingine wa ukweli yuko nyumanyuma na ndiye anayemfanya huyu wa mbele kikaragosi chake.
 
Huyu mkomunisti anapinga CHANJO dhidi ya COVID 19 ila hapingi dawa dhidi ya HIV ambavyo navyo vinatoka kwa "mabeberu"!!!!
 
Polepole anajua nchi ina marais wawili. Mmoja feki anayekaa mbelembele , mwingine wa ukweli yuko nyumanyuma na ndiye anayemfanya huyu wa mbele kikaragosi chake.
Tema mate chini kwa dhihaka meku.....

Mbali na propaganda mfu Tanzania ina rais mmoja tu mwenye "mandate" zote ambaye ni mh.SSH!!!

#SiempreJMT
#NchiKwanza
 
Sawa nitamsubiri kwa hamu zoteeee
Mami nasubiri kwa hamu! Nyanda, huwa ana maswali CHOKOZI sana. Sina shaka kitakuwa kipindi kizuri, kutokana na aina ya mgeni, na huyo muandaaji kipindi!
 
Huyu ndo raisi anayesubiriwa kwa ham saaanaaa. Polepole kaka yangu na mzalendo Mungu akubarikiiii. Ngoja niangalie na kusikiriza madini yako.
 
Chadema na majizi wote matumbo joto
Huyu Sukumagang Masalia adui zake sio Chadema ila ni utawala na Watawala wa sasa
Sikiliza porojo zake kwenye You Tube channel yake anayoiita "shule ya uongozi" ujue watesi wake ni nani.
 
Ndiyo nani huyo Polepole hadi mtu awashe Star TV na kumsikiliza? Ni ndugu yake Kingai?
 
Kwa hiyo Polepole si kibaraka?!!

Rejea alivyonunua wabunge wa UPINZANI na kuiharibu demokrasia ya nchi hii.....
Alisimamia biashara haramu kuwahi kutokea katika taifa letu. Siasa za hovyo za uhasama angejiuzuru walau ningemwelewa.
 
Alisimamia biashara haramu kuwahi kutokea katika taifa letu. Siasa za hovyo za uhasama angejiuzuru walau ningemwelewa.
Jamaa hovyo kabisa....alituharibia CCM yetu kwa chuki ,sifa na maslahi binafsi......bure kabisa!
 
Tema mate chini kwa dhihaka meku.....

Mbali na propaganda mfu Tanzania ina rais mmoja tu mwenye "mandate" zote ambaye ni mh.SSH!!!

#SiempreJMT
#NchiKwanza
Sio kweli. Tanzania ina rais zaidi ya mmoja. Mmoja kikaragosi na mwingine wa ukweli.
 
Jamaa hovyo kabisa....alituharibia CCM yetu kwa chuki ,sifa na maslahi binafsi......bure kabisa!
Ccm yenu iliyolifukarisha taifa ilishaharibika kabla ya polepole, msimsingizie bure, enzi hizo akina Subash Patel na wahuni wengine wanaingia ikulu kama chooni. Enzi za yule mbembeaji kule Jamaica.

BTW, kwani wakati anaratibu zile hamia hamia uchwara za wabunge na madiwani wa upinzani hamkuwa mnafurahia!? Tulieni sasa, shilingi ina pande mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…