Humphrey Polepole kuwa makini, Samaki yake maji

Humphrey Polepole kuwa makini, Samaki yake maji

Nimeikuta mahali hii

Ndugu yangu Polepole nakukumbusha Newton Third Law of Motion. Action and reaction are equal and opposite. Ajifunze awamu ya tano ilivyoshughulika na Membe na Lissu ndivyo wanasiasa wanavyoweza kufanyiana...
Membe na Lissu walishambulia mtu lakini polepole hajasema mtu sasa hapo ulinganishi wako haupo sawa.

Na lisu and Membe walitukana watu wakati polepole anashauli sas kama ushauli ni kosa basi chadema na wapizani mnatakiwa kukaa kimya pia.
 
Huyu jamaa hakuna mwananchi anamuonea huruma,huyu ndie likuwa mstari wa mbele yeye na yule mijicho katika madai ya kuipanga katiba mpya na wananchi waliwapa sapoti kubwa sana na wakiaminia msimamo wao ndio unaofuatwa,mwisho wa skiku akawageuka wananchi na kuwapiga madongo na kujifanya hajui wala hana habari na katiba...
Polepole inatakiwa ashughulikiwe haraka, mnafiki mkoja huyo
 
Membena lisu walishambulia mtu lakini polepole hajasema mtu sasa hapo ulinganishi wako haupo sawa.

Na lisu and membe walitukana watu wakati polepole anashauli sas kama ushauli ni kosa basi chadema na wapizani mnatakiwa kukaa kimya pia.
Andika hayo matusi ambayo walimtukana dikteta
 
Mzee Polepole, akina Nape walipoenda kwa Mzee wako wakipiga magoti wanalia wakiomba msamaha hawakuwa wajinga, walijua fika kwamba ndani ya CCM mfumo wa kukosoana waziwazi haupo...
Saa nyingine mtu akiona umemzidi anajifanya kazimia ili ama uondoke uzania umemaliza kazi ama ulegeze akugeuzie kibao wewe mwenyewe.

Jiulize katika hayo mawili lipi lilitokea,
 
Nimeikuta mahali hii

Ndugu yangu Polepole nakukumbusha Newton Third Law of Motion. Action and reaction are equal and opposite. Ajifunze awamu ya tano ilivyoshughulika na Membe na Lissu ndivyo wanasiasa wanavyoweza kufanyiana.
Huyo Polepole wacha ajionee mwenyewe kwamba kila enzi ina wenyewe; alishafanya aliyoyafanya na wenziwe ktk enzi zao na sasa yuko ndotoni, mwache ajionee mwenyewe na ajue kwamba yuko ndotoni. Hayo atayajua pale maruweruwe ya usingizi yatakapomtoka. Labda umkumbushe wewe kwamba enzi zile zimeisha, huenda atakuelewa.
 
Huyu jamaa hakuna mwananchi anamuonea huruma,huyu ndie likuwa mstari wa mbele yeye na yule mijicho katika madai ya kuipanga katiba mpya na wananchi waliwapa sapoti kubwa sana na wakiaminia msimamo wao ndio unaofuatwa,mwisho wa skiku akawageuka wananchi na kuwapiga madongo na kujifanya hajui wala hana habari na katiba.
Wananchi wenyewe hata wakijua kinamanufaa kwa taifa bado hawawezi kupaza sauti, ajabu
 
Polepole kwa anavyoenda anapambana kufa na kupona,
Kuna Mh. mmoja aliapa kuendelea kupinga kwa nguvu zake zote chanjo dhidi ya korona, siku hizi simsikii alienda wapi?
 
Nimeikuta mahali hii

Ndugu yangu Polepole nakukumbusha Newton Third Law of Motion. Action and reaction are equal and opposite. Ajifunze awamu ya tano ilivyoshughulika na Membe na Lissu ndivyo wanasiasa wanavyoweza kufanyiana.
Itakuwaje mara paaap,kapewa uwaziri?ukumbuke sio kila anayeongea mabaya ni mbaya kwa serikali,unaweza kukuta huyo ndio aina ya watu serikali inawahitaji sana ili iweze kufanya kazi zake vizuri,so don't get him wrong...
 
Huwezi kujifanya unapigania maslahi ya nchi wakakuacha

Siasa dunia nzima haitaki uadilifu lazima uwe unauma na kipuliza

Linda uzio wa nyumba yako tu wakanye wanao tu ila sio Taifa maana hakuna anaependa aguswe
Hata yeye alikuwa na majivuno wakati uleeeee na huenda alishiriki dhambi nyingi kuwanyamazisha wengine kwa kuwa walikuwa na mtetezi wa maslahi

Sasa na yeye yuko upande mwingine atulie tu maana kiroba anakujua
 
Polepole ana haki zote kikatiba kuzungumza analotaka na kuamini, lakini ni lazima afahamu kwamba dola ina nguvu.
 
Back
Top Bottom