Humphrey Polepole, Musukuma na "Kakikundi" kao tunawatazama kwa makini sana!

When ignorance screams, intelligence moves on..

By the way kuua ni relative
 

Akili zenu ndio zinavyo watuma na mnawadhibiti kwa kufanya yale ya vingunguti scania sio? Tengenezeni mazingira ya huko watokako ili wasitanani kuja mjini kulala kwenye mavaranda kariakoo na kwengine.

Wewe unashughulika na machinga wanao panga vitu barabarani hujiulizi baadhi yao wanalala na kuamkia wapi kabla ya kuja kupanga biashara zao barabarani? Machinga wasiposhughulikiwa kwa akili uhalifu utakaozalishwa unaweza kuzidi uwezo wa polisi wetu.
 
Mimi ni mfuasi wa kila mwenyekiti wa CCM....

Humu uliwahi kuniona nikimshambulia hayati kipenzi chetu JPM?!!!

Nitaendelea kumtii na kumsifia mh.Rais SSH Sawa na nilivyofanya kwa hayati JPM....tofauti yetu tu ni kuwa kuna baadhi ya vijana wenzetu wasiojua na kuziishi
vyema ITIKADI ZA CHAMA kutokana na kutanguliza "hisia ,ushabiki koko na mapenzi kikundi"....

Ninaipenda sana tabia ya waziri mh.Lukuvi...yeye ni mtiifu mno kwa kila kiongozi aliyeko madarakani....hafagilii makundi koko hadharani wala "nyuma ya mapazia".

TUBADILIKE
TUBADILIKE KWA KWELI

#SiempreJMT
 
politiki
 
Hajiwezi haswa,hata mimi huwa kila nikimuangalia namuona ni mama mmoja mnene mwenye kifua kikubwa lakini kichwani hakuna kitu
Mkuu Nyamatare mbona unapenda matusi na kuumiza hisia za wengine?!!!

Ukomavu ni kuwa na aibu na nafsi zetu wenyewe pamoja na tunenacho....

Peace
 
Bora aliyekopa akajenga barabara na madaraja, kuna watu walikopa zikaishia mifukoni mwao, RIP JPM.

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Kina nani? Huyo magufuli kaikuta nchi ilisha anza kujengwa na watangulizi wake vitu vingi sana ndio maana yeye akapata pa kuendelea, tatizo sema alitaka awe mungu wa tanzani na viumbe hai wote wamwabudu yeye mungu akaona isiwe shida binadamu niliye muumba mwenyewe anataka kuambudiwa zaid yangu!? Na Akamtwaa! Sasa nyie waumini wake msitupigie kelele.
 
Ingekuwa hivyo rundo lile la wenye mawazo tofauri na chama mbogamboga na washirika wao,wasingekuwa wanashikiliwa magerezani miaka tena bila kufikishwa mahakamani.
 
Hivi Shamba siyo Rasilimali?

Hivi Ng'ombe siyo Rasilimali?

Hivi si ndiyo sasa Waziri wa Kilimo anaanza moja kufundisha watu Kilimo chenye Tija?

Miaka 60 Hatujui kulima na bado mtu unaongelea ati TUNA RASILIMALI-Shame!

HATUNA MAARIFA.
HATUJITUMI.

SHIDA NI VICHWA VYETU..

SIYO RASILIMALI!!

SASA RAIS AFANYEJE sasa na ana watu mizigo!?
 
Pangua hoja za polepole mkuu sio utake kumziba mdogo asiongee
 
Unauhakika hakujiri?
 
Msiwe mnatukanana si vyema, hakuna siasa au masilahi yanayozidi utu maana haya yote mnayopigania matayaacha tu hapa duniani.
Mkuu hayo yalinenwa na MKUU WA NCHI, na yatabaki kuwa katika kumbukumbu ya pale tulipofikia kama nchi.
Unapochagua kiongozi wakati mwingine ni kama pata potea, unaweza okota gharasha!
 
Swala la Machinga ni kaa la moto, linahitaji mjadala wa kitaifa, na siyo kwa watu wale wale tunao waona kwenye kipindi cha kipima joto, ITV,hata uchumi wetu unahitaji mjadala wa kitaifa tunahitaji 'National economic structure of the Nation' mfumo wetu maalumu wa kiuchumi wa nchi (Tanzania) ambao wanasiasa wakiugusa wanaambiwa aaa! hapa usigusee, hatuhitaji uchumi wa waziri wa fedha,hatutafika popote,uchumi wetu haujakaa sawa
 
usiongee mada usizozijua! Umafikiri madhara ya uvuvi haramu kwenye afya ya binadamu! Watu wanapata kansa wewe unakuja kurukia mada hapa!
 
usiongee mada usizozijua! Umafikiri madhara ya uvuvi haramu kwenye afya ya binadamu! Watu wanapata kansa wewe unakuja kurukia mada hapa!
Wasukuma mna chuki na Samia,na Samia atahakikisha anapiga chini mabaki yote ya magufuli kwenye serikali yake,nyie mbwa hamna shukrani
Unawaita wasukuma mbwa? Kwa hiyo wasukuma hawakuwepo kabla ya Magufuli au Samia? Pumbavu sana na chuki zako za kikabila! Huna la kuwafanya wasukuma pimbi wewe!
 
Shukrani mmewafanyia nini wasukuma pumbavu nyie,wasukuma wanaendelea na maisha yao kama kawaida bila kelele nyie tu mnajishtukia kwa unafiki wenu,mama hana ushawishi ni empty set
Acha matusi kwa amir jeshi mkuu
 
Ahahah, nyie watani zangu ni washamba tu, hamna mlijualo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…