Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Barua ya kujiuzulu aliyoiandika Bw. H. Polepole, si tu ni barua ya kujiuzulu, bali ni barua inayomkosoa Rais Samia kwa uongozi wake wa chama chake na nchi/ serikali kwa ujumla.
Ni barua inayokosoa uwezo wa kuongoza wa Rais Samia.
Sasa sijui kama Samia naye kaliona hilo au labda ataendelea kushupaza shingo.
Polepole hajatumia lugha kali au lugha ya moja kwa moja.
Katumia lugha ya kidiplomasia, ingawa naye anaweza kukosolewa, tena kihalali kabisa kuwa kachelewa kufanya alichokifanya.
Sitoshangaa Samia akimpa jina la Kifuu Tundu huyo Bwana Polepole.
Tusubiri tuone….