Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Wenzake huko ccm wanamuona ni think tank wao.Luka ni mchekeshaji tu. Mimi wala huwa simchukulii kimaanani kivile.
Huwa namsoma naishia kucheka tu.
Wenzake huko ccm wanamuona ni think tank wao.Luka ni mchekeshaji tu. Mimi wala huwa simchukulii kimaanani kivile.
Huwa namsoma naishia kucheka tu.
achana na mchambiagunzi huyo,....Kuna Mbuzi anaitwa Lucas Mwashambwa anajiona naye ni Abduli
Kwani si kajiuzulu tayari,au wamaanisha ile hadhi!!?Sijui naye atavuliwa ubalozi….
Yes, timing yake inafikirisha.
Wazee wa kusoma upepo. Huku mpo kule mpo. Kazi kwelikweliPolepole ndio Mwendo
Kama akili huna utajuaje who is to you!Mimi sio mwanasiasa Wala sio Malaya wa Kisiasa ni shabiki wa SSH.
By the way Who is Nyerere kwangu?
Kila awamu na watu wake. Walikuwepo kina lizabon saiv wako wap😅😅Mtanuna sana msimu huu 🤣.
Who is he kwangu?Kama akili huna utajuaje who is to you!
Ubalozi kajivua mwenyeweSijui naye atavuliwa ubalozi….
Kweli kabisa mama ana piechidii ya vichamboMama yetu ni bingwa wa kuchamba watu hadharani (ile PhD ya heshima huenda ilitokana na huo uwezo wake), ni lazima Polepole akutane na kichambo.
Tunune kisa mtu kaachia ulaji? Walaji wameishia? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Aisee wafuasi wa Jiwe mtatapatapa lakini hamfaulu.
View: https://www.instagram.com/reel/DMDy37zMD_W/?igsh=djRibHNweDUwNjM2
Mkuu. Ujue Yehovah anajibu maombi. Nakumbuka wakati wa yule mwingine, sala hii ilitumika sana. Kama utani ikawa. Sala hii hapa! ZABURI 109:8,9. "Siku zake na ziwe chache, usimamizi wake na atwae mtu mwingine. Wanawe na wawe yatima, mkewe na awe mjane." Mungu amnusuru kwa kumpa hekima ya kuwaachia wenyewe Kenya yao.Tunakuomba Yehovah fanya kama ya yule mwingine
Ameen
Kweli huna akili, unawezaje kuwa shabiki wa mtu kiazi vile mkuu?!.Mimi sio mwanasiasa Wala sio Malaya wa Kisiasa ni shabiki wa SSH.
By the way Who is Nyerere kwangu?
Viazi ndio wanaleta matokeo,nyie vipanga mumejaza upumbavu kichwaniKweli huna akili, unawezaje kuwa shabiki wa mtu kiazi vile mkuu?!.
Anyway, njaa haina baunsa!
Vilaza wanatoa matokeoKweli huna akili, unawezaje kuwa shabiki wa mtu kiazi vile mkuu?!.
Anyway, njaa haina baunsa!
Yesu Anakuja haya mambo ni ya kisiasa ambayo yanaleta maswali mengi kuliko majibu yakeAmejiuzulu na kukosoa kuwa utawala wa boss wake haufuati haki za binadamu. bila shaka amemaanisha;
- Wakristo kufungiwa makanisa wasisali ila waislam wenzie wanaswali bila shida
- watu kupotea na kukutwa wameumizwa
- watu kuuawa na kutupwa
- maovu mengi ya wasiojulikana ambao raia wanasemani polisi, ila hasikii kitu
- kutoshaurika hata pale haki za binadamu zinapovunjwa waziwazi.
- Watanganyika kunyimwa haki ya nchi yao ya Tanganyika wakati zenji inanawiri!