Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Nani aliyewahi kusema? Samia au Polepole?Aliwahi kusema kuwa kwao wana misemo mingi hivyo kama ni kusema hata yeye anaweza kusema.
SamiaNani aliyewahi kusema? Samia au Polepole?
Sijui naye atavuliwa ubalozi….Mama yetu ni bingwa wa kuchamba watu hadharani (ile PhD ya heshima huenda ilitokana na huo uwezo wake), ni lazima Polepole akutane na kichambo.
Itategemea hatua zake baada ya kutoka huko.Barua ya kujiuzulu aliyoiandika Bw. H. Polepole, si tu ni barua ya kujiuzulu, bali ni barua inayomkosoa Raia Samia kwa uongozi wake wa chama chake na nchi/ serikali kwa ujumla.
Ni barua inayokosoa uwezo wa kuongoza wa Rais Samia.
Sasa sijui kama Samia naye kaliona hilo au labda ataendelea kushupaza shingo.
Polepole hajatumia lugha kali au lugha ya moja kwa moja.
Katumia lugha ya kidiplomasia, ingawa naye anaweza kukosolewa, tena kihalali kabisa kuwa kachelewa kufanya alichokifanya.
Sitoshangaa Samia akimpa jina la Kifuu Tundu huyo Bwana Polepole.
Tusubiri tuone….
Polepole aliwahi kusema mtu ukiwa CCM halafu umenyooka kama rula huwezi kufika popote. CCM ni kama chama cha mafisi. Mnyama tofauti hawezzi kufit kwenye gurupu lile.Barua ya kujiuzulu aliyoiandika Bw. H. Polepole, si tu ni barua ya kujiuzulu, bali ni barua inayomkosoa Raia Samia kwa uongozi wake wa chama chake na nchi/ serikali kwa ujumla.
Ni barua inayokosoa uwezo wa kuongoza wa Rais Samia.
Sasa sijui kama Samia naye kaliona hilo au labda ataendelea kushupaza shingo.
Polepole hajatumia lugha kali au lugha ya moja kwa moja.
Katumia lugha ya kidiplomasia, ingawa naye anaweza kukosolewa, tena kihalali kabisa kuwa kachelewa kufanya alichokifanya.
Sitoshangaa Samia akimpa jina la Kifuu Tundu huyo Bwana Polepole.
Tusubiri tuone….
Mtanuna sana msimu huu 🤣.Itategemea hatua zake baada ya kutoka huko.
Hawa wafuasi wa Jiwe wanahangaika sana.
Polepole naye hana credibility kivile, ila kafanya sahihi kujiuzulu.Polepole aliwahi kusema mtu ukiwa CCM halafu umenyooka kama rula huwezi kufika popote. CCM ni kama chama cha mafisi. Mnyama tofauti hawezzi kufit kwenye gurupu lile.
Tunune kisa mtu kaachia ulaji? Walaji wameishia? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mtanuna sana msimu huu 🤣.
Nyerere alikataa wanasiasa malaya malaya kama ChoiceVariableTunune kisa mtu kaachia ulaji? Walaji wameishia? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Aisee wafuasi wa Jiwe mtatapatapa lakini hamfaulu.
Mimi sio mwanasiasa Wala sio Malaya wa Kisiasa ni shabiki wa SSH.Nyerere alikataa wanasiasa malaya malaya kama ChoiceVariable
Kwa kipindi Cha hivi karibuni, hiyo ndio imekuwa desturi Yao, hasa wakishagundua mwenzao mmoja havutiwi tena na ukiritimba unaoendelea.Barua ya kujiuzulu aliyoiandika Bw. H. Polepole, si tu ni barua ya kujiuzulu, bali ni barua inayomkosoa Raia Samia kwa uongozi wake wa chama chake na nchi/ serikali kwa ujumla.
Ni barua inayokosoa uwezo wa kuongoza wa Rais Samia.
Sasa sijui kama Samia naye kaliona hilo au labda ataendelea kushupaza shingo.
Polepole hajatumia lugha kali au lugha ya moja kwa moja.
Katumia lugha ya kidiplomasia, ingawa naye anaweza kukosolewa, tena kihalali kabisa kuwa kachelewa kufanya alichokifanya.
Sitoshangaa Samia akimpa jina la Kifuu Tundu huyo Bwana Polepole.
Tusubiri tuone….
Barua ya kujiuzulu aliyoiandika Bw. H. Polepole, si tu ni barua ya kujiuzulu, bali ni barua inayomkosoa Raia Samia kwa uongozi wake wa chama chake na nchi/ serikali kwa ujumla.
Ni barua inayokosoa uwezo wa kuongoza wa Rais Samia.
Sasa sijui kama Samia naye kaliona hilo au labda ataendelea kushupaza shingo.
Polepole hajatumia lugha kali au lugha ya moja kwa moja.
Katumia lugha ya kidiplomasia, ingawa naye anaweza kukosolewa, tena kihalali kabisa kuwa kachelewa kufanya alichokifanya.
Sitoshangaa Samia akimpa jina la Kifuu Tundu huyo Bwana Polepole.
Tusubiri tuone….
Huna kamusi?Kifuu Tundu ndo Nini Mpemba ?