Humphrey Polepole naye atatungiwa msamiati kama alivyotungiwa Gwajima?

“Zingifuri zingifuri, ungezinga mahala ukakaa, usie mila desturi usiyejua tongozwa ukakataa.
Usiyo hiyana fedhuri, uongo umekujaa
Kujifanya mashughuli kumbe chaka umechakaa.

Ila kiswahili ni kipanaaaaaa, hasa cha kisiwa kile.
Hapo Mh. Slow ajichagulie la kwake mapema.
 

Alichonifurahisha ni hiyo timing yake na kuivujisha barua yake. Hiyo lazima itakuwa imemumiza sana Maza. Kama Polepole asingewahi kuivujisha wangejifanya wamemfukuza.
 
"Mapolepole yanatuchelewesha".
" Serikali yangu sitaki watu wanaoenda Polepole".
 
Hana uwezo hata kuwa Rais wa Zanzibar! Sasa kwa nn awe Raisewa Tanganyika?
Ule urais ulimdondokea kwa bahati mbaya tu sasa kwa nn anataka na awamu ya pili?
Kama hawezi kuww hata Rais huko kwao alikotoka kwa nn awe Rais huku kwetu? NAUMIA SANA MIMI
شكرًا لك
 
polepolenism
 
We jamaa nomaa
 
Kupewa jina kumatokana na jinsi mtu mwenyewe anatokaje,anapoyoka anaongea nini,na si hivyo tu bali je huyo mtu aliingiaje kwenye hiyo kazi,sasa gwajiboy na polepole walipataje vyeo ccm?Je nia yao ya ndani hasa ni ipi.The sumtotal ya hayo yote ndio inakupa jina gani upewe
 
Amejiuzulu na kukosoa kuwa utawala wa boss wake haufuati haki za binadamu. bila shaka amemaanisha;
  1. Wakristo kufungiwa makanisa wasisali ila waislam wenzie wanaswali bila shida
  2. watu kupotea na kukutwa wameumizwa
  3. watu kuuawa na kutupwa
  4. maovu mengi ya wasiojulikana ambao raia wanasemani polisi, ila hasikii kitu
  5. kutoshaurika hata pale haki za binadamu zinapovunjwa waziwazi.
  6. Watanganyika kunyimwa haki ya nchi yao ya Tanganyika wakati zenji inanawiri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…