Mrs Besyige
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 1,040
- 2,923
kuna video inasambaa ya polepole itafteHabari yote nimeielewa kasoro hapo kwenye kutumiwa majina ya wagonjwa. Ebu mleta mada fafanua majina ya nini tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna video inasambaa ya polepole itafteHabari yote nimeielewa kasoro hapo kwenye kutumiwa majina ya wagonjwa. Ebu mleta mada fafanua majina ya nini tena?
Kabisa mkuu ninachokiona hapa huyo Polepole anatafuta kiki tu za kuongelewa au kama sio kiki basi ameanza kupotoka.Ubalozi unatakiwa kuendeshwa kama ofisi ya nchi sio ya mtu binafsi, yeye Polepole kama kuna dawa amezigundua huko Cuba zinafanya vizuri na ameona zina umuhimu sana kwa raia wa Tanzania anachotakiwa kufanya ni kuwasiliana na Wizara ya Afya na watengeneze utaratibu wa hizo dawa kuuzwa hapa nchini kama vile dawa nyingine kutoka India n.k zinavyouzwa.
#Tusipende kiki na drama za wanasiasa.
Wizara ya afya Kuna biashara za watu, Kuna urasimu wa hatari,Pole pole anapiga kazi , ana uwezo wa kujenga hoja na anayo maono makubwa kuhusu kesho ya Tanzania.
Kwa akili alizonazo hawezi kukubalika ndani ya CCM kirahisi na mwisho wa siku watampiga Majungu hata nafasi yake ya Ubalozi apokonywe. Waliona akiwa Malawi anafaidi wakampeleka Cuba . Amefika Cuba ametulia na kufanya mazungumzo na mamlaka husika na zimemwelewa, amepata fursa ya kuleta dawa tiba kwa watanzania.
Kuonyesha wana CCM walivyo na wivu na chuki, imemlazimu yeye binafsi afanye mazungumzo na hospitali ya Kairuki na kuwaomba wenye hospital nyingine wamtumie majina ya wagonjwa. Wizara ya Afya hakuna Sehemu kwenye website wala mitandao ilipoonyesha kumuunga mkono. Maana yake wapo watu wanajadili namna yakumkwamisha kwa kisingizio cha taratibu za kuingiza dawa nchini.
Watafanya hivyo kumkwamisha kwa sababu wao siyo wahanga wa magonjwa haya manne anayowaza kutusaidia mdogo wetu Polepole. Wapo watu wizara ya Afya watataka waende Cuba kujiridhisha na dawa hizi kwa gharama za serikali au cuba , jiulize kama hizo dawa hazipo nchini wao walizosomea wapi hadi wakazifanyie uchunguzi?
Nimeandika haya kwa sababu kwenye moja ya droup la whatsapp nimeona kiongozi mmoja Mwanza mwenye taaluma ya dawa akisema Polepole hatofanikiwa kwenye mpango wake kwa sababu hizo dawa anqzosema hazijasajiliwa na Mamlaka za Tanzania na kwamba serikali haiwezi kuziruhusu ziingie nchini. Pia ameongeza hakuna dawa zinaingizwa nchini kwa sababu tu balozi kaomba, dawa zinatakiwa zifanyiwe utafiti na wataalam wetu aidha kwa wao kwenda Cuba au sample kuletwa Tanzania. Haya mawazo ndiyo mtizamo wa wasomi wengi wa Afya, ndio mtizamo wa washauri wa serikali kwamba wao dawa hawana lakini wanataka wapewe wazichunguz3....Pole pole usikate tamaa tunahitaji msaada huu wa tiba kwa ajili ya ndugu zetu. Ila fanyia utafiti vikwazo vinavyotarajiwa kuwekwa na wanasiasa wenzako kukuzina mdomo na kukufanya uonekane umewalaghai wananchi.
Kazi ya ubalozi anaitendea haki huyu mwamba,tunahitaji mabalozi wenye maoniDuh...!. Wabongo kwa husda, fitna na majungu.
Nimemsikia Balozi Polepole, amesisitiza utaratibu utafuatwa.
P
Pole pole anapiga kazi , ana uwezo wa kujenga hoja na anayo maono makubwa kuhusu kesho ya Tanzania.

Inavyoonekana aliwasiliana na mamlaka husika ila amekutana na vikwazo hata hivyo sijajua Kwa nini anaitaja Hospital ya Kairuki Kwa sababu kama mamlaka hazitaki asingefanikiwa kunpoint eneo.Ubalozi unatakiwa kuendeshwa kama ofisi ya nchi sio ya mtu binafsi, yeye Polepole kama kuna dawa amezigundua huko Cuba zinafanya vizuri na ameona zina umuhimu sana kwa raia wa Tanzania anachotakiwa kufanya ni kuwasiliana na Wizara ya Afya na watengeneze utaratibu wa hizo dawa kuuzwa hapa nchini kama vile dawa nyingine kutoka India n.k zinavyouzwa.
#Tusipende kiki na drama za wanasiasa.
Pole pole anapiga kazi , ana uwezo wa kujenga hoja na anayo maono makubwa kuhusu kesho ya Tanzania.
Kwa akili alizonazo hawezi kukubalika ndani ya CCM kirahisi na mwisho wa siku watampiga Majungu hata nafasi yake ya Ubalozi apokonywe. Waliona akiwa Malawi anafaidi wakampeleka Cuba . Amefika Cuba ametulia na kufanya mazungumzo na mamlaka husika na zimemwelewa, amepata fursa ya kuleta dawa tiba kwa watanzania.
Kuonyesha wana CCM walivyo na wivu na chuki, imemlazimu yeye binafsi afanye mazungumzo na hospitali ya Kairuki na kuwaomba wenye hospital nyingine wamtumie majina ya wagonjwa. Wizara ya Afya hakuna Sehemu kwenye website wala mitandao ilipoonyesha kumuunga mkono. Maana yake wapo watu wanajadili namna yakumkwamisha kwa kisingizio cha taratibu za kuingiza dawa nchini.
Watafanya hivyo kumkwamisha kwa sababu wao siyo wahanga wa magonjwa haya manne anayowaza kutusaidia mdogo wetu Polepole. Wapo watu wizara ya Afya watataka waende Cuba kujiridhisha na dawa hizi kwa gharama za serikali au cuba , jiulize kama hizo dawa hazipo nchini wao walizosomea wapi hadi wakazifanyie uchunguzi?
Nimeandika haya kwa sababu kwenye moja ya droup la whatsapp nimeona kiongozi mmoja Mwanza mwenye taaluma ya dawa akisema Polepole hatofanikiwa kwenye mpango wake kwa sababu hizo dawa anqzosema hazijasajiliwa na Mamlaka za Tanzania na kwamba serikali haiwezi kuziruhusu ziingie nchini. Pia ameongeza hakuna dawa zinaingizwa nchini kwa sababu tu balozi kaomba, dawa zinatakiwa zifanyiwe utafiti na wataalam wetu aidha kwa wao kwenda Cuba au sample kuletwa Tanzania. Haya mawazo ndiyo mtizamo wa wasomi wengi wa Afya, ndio mtizamo wa washauri wa serikali kwamba wao dawa hawana lakini wanataka wapewe wazichunguz3....Pole pole usikate tamaa tunahitaji msaada huu wa tiba kwa ajili ya ndugu zetu. Ila fanyia utafiti vikwazo vinavyotarajiwa kuwekwa na wanasiasa wenzako kukuzina mdomo na kukufanya uonekane umewalaghai wananchi.
Polepole huyu huyu aliyekuwa akizunguka kunadi rasimu ya katiba ila baada ya kupewa uenezi akasema katiba kwa muda huo haina maana?Pole pole anapiga kazi , ana uwezo wa kujenga hoja na anayo maono makubwa kuhusu kesho ya Tanzania.
Kwa akili alizonazo hawezi kukubalika ndani ya CCM kirahisi na mwisho wa siku watampiga Majungu hata nafasi yake ya Ubalozi apokonywe. Waliona akiwa Malawi anafaidi wakampeleka Cuba . Amefika Cuba ametulia na kufanya mazungumzo na mamlaka husika na zimemwelewa, amepata fursa ya kuleta dawa tiba kwa watanzania.
Kuonyesha wana CCM walivyo na wivu na chuki, imemlazimu yeye binafsi afanye mazungumzo na hospitali ya Kairuki na kuwaomba wenye hospital nyingine wamtumie majina ya wagonjwa. Wizara ya Afya hakuna Sehemu kwenye website wala mitandao ilipoonyesha kumuunga mkono. Maana yake wapo watu wanajadili namna yakumkwamisha kwa kisingizio cha taratibu za kuingiza dawa nchini.
Watafanya hivyo kumkwamisha kwa sababu wao siyo wahanga wa magonjwa haya manne anayowaza kutusaidia mdogo wetu Polepole. Wapo watu wizara ya Afya watataka waende Cuba kujiridhisha na dawa hizi kwa gharama za serikali au cuba , jiulize kama hizo dawa hazipo nchini wao walizosomea wapi hadi wakazifanyie uchunguzi?
Nimeandika haya kwa sababu kwenye moja ya droup la whatsapp nimeona kiongozi mmoja Mwanza mwenye taaluma ya dawa akisema Polepole hatofanikiwa kwenye mpango wake kwa sababu hizo dawa anqzosema hazijasajiliwa na Mamlaka za Tanzania na kwamba serikali haiwezi kuziruhusu ziingie nchini. Pia ameongeza hakuna dawa zinaingizwa nchini kwa sababu tu balozi kaomba, dawa zinatakiwa zifanyiwe utafiti na wataalam wetu aidha kwa wao kwenda Cuba au sample kuletwa Tanzania. Haya mawazo ndiyo mtizamo wa wasomi wengi wa Afya, ndio mtizamo wa washauri wa serikali kwamba wao dawa hawana lakini wanataka wapewe wazichunguz3....Pole pole usikate tamaa tunahitaji msaada huu wa tiba kwa ajili ya ndugu zetu. Ila fanyia utafiti vikwazo vinavyotarajiwa kuwekwa na wanasiasa wenzako kukuzina mdomo na kukufanya uonekane umewalaghai wananchi.
Samaki anaoza kuanzia kichwani,yule aliyepo pale juu ndiye mwenye sauti ya kusema dawa ziletwe au zisiletwe!Pole pole anapiga kazi , ana uwezo wa kujenga hoja na anayo maono makubwa kuhusu kesho ya Tanzania.
Kwa akili alizonazo hawezi kukubalika ndani ya CCM kirahisi na mwisho wa siku watampiga Majungu hata nafasi yake ya Ubalozi apokonywe. Waliona akiwa Malawi anafaidi wakampeleka Cuba . Amefika Cuba ametulia na kufanya mazungumzo na mamlaka husika na zimemwelewa, amepata fursa ya kuleta dawa tiba kwa watanzania.
Kuonyesha wana CCM walivyo na wivu na chuki, imemlazimu yeye binafsi afanye mazungumzo na hospitali ya Kairuki na kuwaomba wenye hospital nyingine wamtumie majina ya wagonjwa. Wizara ya Afya hakuna Sehemu kwenye website wala mitandao ilipoonyesha kumuunga mkono. Maana yake wapo watu wanajadili namna yakumkwamisha kwa kisingizio cha taratibu za kuingiza dawa nchini.
Watafanya hivyo kumkwamisha kwa sababu wao siyo wahanga wa magonjwa haya manne anayowaza kutusaidia mdogo wetu Polepole. Wapo watu wizara ya Afya watataka waende Cuba kujiridhisha na dawa hizi kwa gharama za serikali au cuba , jiulize kama hizo dawa hazipo nchini wao walizosomea wapi hadi wakazifanyie uchunguzi?
Nimeandika haya kwa sababu kwenye moja ya droup la whatsapp nimeona kiongozi mmoja Mwanza mwenye taaluma ya dawa akisema Polepole hatofanikiwa kwenye mpango wake kwa sababu hizo dawa anqzosema hazijasajiliwa na Mamlaka za Tanzania na kwamba serikali haiwezi kuziruhusu ziingie nchini. Pia ameongeza hakuna dawa zinaingizwa nchini kwa sababu tu balozi kaomba, dawa zinatakiwa zifanyiwe utafiti na wataalam wetu aidha kwa wao kwenda Cuba au sample kuletwa Tanzania. Haya mawazo ndiyo mtizamo wa wasomi wengi wa Afya, ndio mtizamo wa washauri wa serikali kwamba wao dawa hawana lakini wanataka wapewe wazichunguz3....Pole pole usikate tamaa tunahitaji msaada huu wa tiba kwa ajili ya ndugu zetu. Ila fanyia utafiti vikwazo vinavyotarajiwa kuwekwa na wanasiasa wenzako kukuzina mdomo na kukufanya uonekane umewalaghai wananchi.
Kwani kuna ubaya akitupa namba ili wanaotaka wawasiliane na Balozi ili kupata tiba?Ubalozi unatakiwa kuendeshwa kama ofisi ya nchi sio ya mtu binafsi, yeye Polepole kama kuna dawa amezigundua huko Cuba zinafanya vizuri na ameona zina umuhimu sana kwa raia wa Tanzania anachotakiwa kufanya ni kuwasiliana na Wizara ya Afya na watengeneze utaratibu wa hizo dawa kuuzwa hapa nchini kama vile dawa nyingine kutoka India n.k zinavyouzwa.
#Tusipende kiki na drama za wanasiasa.
Nyie mna weledi kwenye tiba kuliko Cuba au ndiyo mwendelezo wa siasa maandazi!Pamoja na kazi nzuri ya Polepole, lazima sheria, kanuni na taratibu zinazohusu uingizaji dawa zifuatwe.
Dawa zaweza kusababisha madhara zaidi ya kutibu, hivyo weledi unahitajika na siyo siasa.
Raia feki na genge lenu tumesha wajua ...mmefanikiwa kidogo tu kukamata nchi ila baada ya muda mambo yanakwenda kugeuka na hali zenu za mwisho zitakuwa mbaya sana maana watz tumesha wajua uhuni wenu kwa nchi yetu.Umeandika: ''Wizara ya Afya hakuna Sehemu kwenye website wala mitandao ilipoonyesha kumuunga mkono.''
Ewe chawa wa Polepole, kwanini ni lazima wizara imuunge mkono kwenye mitandao? Anyways, hawa ndiyo CCM, kila kitu kinafanyika ili mtu apate au asipate umaarufu. Hakuna ambaye anafanya jambo kwa moyo wa kweli. Nchi hujengwa na wenye moyo na siyo wataka vyeo. CCM wote wanafanya mambo kwa kutaka vyeo. Hii ni hatari sana wasipoondolewa kwenye uongozi wa nchi.
Wapiga dili za dawa wanaogopa soko lao litaanguka maana Cuba wapo juu sana kwenye fani ya medicine.Marekani mwenyewe anamuwekea vikwazo lakini jamaa wapo juu sana!Duh...!. Wabongo kwa husda, fitna na majungu.
Nimemsikia Balozi Polepole, amesisitiza utaratibu utafuatwa.
P
Wasiliana na PolepoleMfumo wa Usajili wa vizazi na vifo kwa njia ya mtandao (Erita) unasumbua sana karibu wiki mbili wamekuwa hawafanyii kazi taarifa zinazotumwa.
ukizingatia shule zinakaribia kufungukiwa na usajili wa watoto shuleni unakarbia kufungwa lakini RITA wamekuwa wazito kushughurikia vyeti naomba wenye mamlaka wafanye haraka ili watoto waweze kusajiliwa mapema shuleni
Mkuu Watu hatari sana! Tumekua tunapata msaada wa madaktari wa kujitolea kutoka Cuba for decade hakuna aliyehoji na wapo kwenye hospital za serikali performing excellent. Iweje dawa zao tunahoji.Nyie mna weledi kwenye tiba kuliko Cuba au ndiyo mwendelezo wa siasa maandazi!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Tafta video ndo utaelewa au omba Mungu akupe ugojwa mmojawapo alioutaja Polepole ndipo utamwelewa Polepole.Aisee
Bongo kweli shagalabagala....
Sasa majina ya wagonjwa kweli yanatakiwa na balozi ili ayawafanyie nini?
Kuingiza siasa za kijinga kwenye kila tasnia imeharibu sana hii
Duh!
Ubalozi unatakiwa kuendeshwa kama ofisi ya nchi sio ya mtu binafsi, yeye Polepole kama kuna dawa amezigundua huko Cuba zinafanya vizuri na ameona zina umuhimu sana kwa raia wa Tanzania anachotakiwa kufanya ni kuwasiliana na Wizara ya Afya na watengeneze utaratibu wa hizo dawa kuuzwa hapa nchini kama vile dawa nyingine kutoka India n.k zinavyouzwa.
#Tusipende kiki na drama za wanasiasa.