Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Mimi nilihitaji uniambie zilipitia utaratibu gani na zilienda kutumiwa na nani kipindi zilipokuja.Lakini si zilikuja? Sasa hizi za Cuba mnazbania kwanini? Kwavile zinampandisha Chati Pole pole au mnataka kujipendekeza kwa Marekani kuwa nyinyi nanyi mnawawekea embargo Cuba? Acheni ujinga huo ; Rais wenu mstaafu “Kamando” pengine angewahi kupata dawa hizo saa hizi angekuwa anaona!!
Mimi huwa siko tayari kuwa mpambe wa mtu,bali nahitaji kuwa na wapambe.
Sihitaji kuwa mlinzi wa mtu,bali nahitaji kuwa na walinzi.