Humphrey Polepole, ndugu zako wanasiasa wenye chuki na wewe pamoja na wataalamu wa Afya wanasema kuingiza dawa ambazo hazijasajiliwa nchini ni ndoto

Kabisa mkuu ninachokiona hapa huyo Polepole anatafuta kiki tu za kuongelewa au kama sio kiki basi ameanza kupotoka.
 
Wizara ya afya Kuna biashara za watu, Kuna urasimu wa hatari,
Walimkwamisha Dr. Flani wa Moyo mpaka akafa
 
Aisee
Bongo kweli shagalabagala....
Sasa majina ya wagonjwa kweli yanatakiwa na balozi ili ayawafanyie nini?
Kuingiza siasa za kijinga kwenye kila tasnia imeharibu sana hii
Duh!
 


Ni sheria, na inafuatwa, Pole pole kuna kitu anaumwa na kujijenga kisiasa
 
Inavyoonekana aliwasiliana na mamlaka husika ila amekutana na vikwazo hata hivyo sijajua Kwa nini anaitaja Hospital ya Kairuki Kwa sababu kama mamlaka hazitaki asingefanikiwa kunpoint eneo.

Hata hivyo taarifa yake imeripotiwa na mojawapo ya Watoa taarifa rasmi za Serikali
 

Ni upumbavu kukataa dawa za Cuba, akaruhusu takataka za China na India. If it is a matter of verification and approval, why do they do it now? Just request the sample and do the rest
 
Polepole huyu huyu aliyekuwa akizunguka kunadi rasimu ya katiba ila baada ya kupewa uenezi akasema katiba kwa muda huo haina maana?
Kwa kweli inahitaji ushujaa kuwaamini wanasiasa
 
Samaki anaoza kuanzia kichwani,yule aliyepo pale juu ndiye mwenye sauti ya kusema dawa ziletwe au zisiletwe!
Lakini ndiyo hivyo tulipigwa na kitu kizito kichwani!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Kwani kuna ubaya akitupa namba ili wanaotaka wawasiliane na Balozi ili kupata tiba?
Kwani hujui kuwa nchi yetu inaongozwa ma viongozi Wajingawajinga!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Pamoja na kazi nzuri ya Polepole, lazima sheria, kanuni na taratibu zinazohusu uingizaji dawa zifuatwe.
Dawa zaweza kusababisha madhara zaidi ya kutibu, hivyo weledi unahitajika na siyo siasa.
Nyie mna weledi kwenye tiba kuliko Cuba au ndiyo mwendelezo wa siasa maandazi!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Raia feki na genge lenu tumesha wajua ...mmefanikiwa kidogo tu kukamata nchi ila baada ya muda mambo yanakwenda kugeuka na hali zenu za mwisho zitakuwa mbaya sana maana watz tumesha wajua uhuni wenu kwa nchi yetu.
 
Wasiliana na Polepole
 
Nyie mna weledi kwenye tiba kuliko Cuba au ndiyo mwendelezo wa siasa maandazi!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Mkuu Watu hatari sana! Tumekua tunapata msaada wa madaktari wa kujitolea kutoka Cuba for decade hakuna aliyehoji na wapo kwenye hospital za serikali performing excellent. Iweje dawa zao tunahoji.
 
Aisee
Bongo kweli shagalabagala....
Sasa majina ya wagonjwa kweli yanatakiwa na balozi ili ayawafanyie nini?
Kuingiza siasa za kijinga kwenye kila tasnia imeharibu sana hii
Duh!
Tafta video ndo utaelewa au omba Mungu akupe ugojwa mmojawapo alioutaja Polepole ndipo utamwelewa Polepole.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…