Humphrey Polepole, ndugu zako wanasiasa wenye chuki na wewe pamoja na wataalamu wa Afya wanasema kuingiza dawa ambazo hazijasajiliwa nchini ni ndoto

Mimi nilihitaji uniambie zilipitia utaratibu gani na zilienda kutumiwa na nani kipindi zilipokuja.
Mimi huwa siko tayari kuwa mpambe wa mtu,bali nahitaji kuwa na wapambe.
Sihitaji kuwa mlinzi wa mtu,bali nahitaji kuwa na walinzi.
 
Polepole ni kati ya watu wajinga ambao huwa wanaona Tanzania ni mali binafsi
Wewe boya, unamshutumu Polepole kwa kufanya kazi yake ya ubalozi? Hiyo ndio kazi aliyotumwa kufanya economic diplomacy ili kuongeza biashara na nchi ya Cuba!
 
Mimi nilihitaji uniambie zilipitia utaratibu gani na zilienda kutumiwa na nani kipindi zilipokuja.
Mimi huwa siko tayari kuwa mpambe wa mtu,bali nahitaji kuwa na wapambe.
Sihitaji kuwa mlinzi wa mtu,bali nahitaji kuwa na walinzi.
Zili kwenda kuchukuliwa na ndege ya serikali na zilipofika zikatumiwa na viongozi wa serikali wakina Kabudi etc. Una swali zaidi?
 
Pole pole anatafuta popularity kwa wanyonge wasioelewa. Dawa italetwaje bila kusajiliwa. Hata ile ya Corona aliuoenda kuichukua Kabudi ilenda NIMR, ndio k9pindi tuliijua NIMR.
Mda mwingine dawa huwa sio universal kama USB port zinakataana na makundi ya damu.
Madaktari hawawezi kukubali kutumika kisiasa kama wewe mtoa mada, labda walazimishwe kama alivyokuwa anafanya magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…