Humphrey Polepole ni mpango wa Mungu. Ni unabii ambao ni lazima utimie

Izizimba

Senior Member
Joined
Jan 23, 2017
Posts
152
Reaction score
412
Wanasiasa huja na kuondoka, lakini wachache huacha alama za kudumu.Ni yeye tupende tusipende kwa maana imeandikwa. Safari yake ina mkono wa Mungu.

Ndiyo maana tunasema yeye ni mpango wa Mungu ni unabii ambao lazima utimie. Yeyote atakaye jaribu kumzuia hatafanikiwa.​
 
Hii sio akili ya mtu timamu.
 
Siku zote, wanaosimamia mifumo ya kiutawala (Majasusi) hutengeneza "scenarios" ili kuuaminisha umma. Hutumia watu mbalimbali ama kutoka ndani mwao au nje yao ambao hutumika kusambaza kwa umma wanachotaka kiwe.

Hutumia wachungaji, au wanaojiita manabii, mashehe au wanasiasa nk.

Ukiona mtu kaoteshwa na mungu eti Polepole blablaa ni move ya scenario fulani.

Siyo scenario zote zinazofanikiwa zilizoandaliwa na watu wa mfumo. Scenario moja ikifeli wanaenda na scenario nyingine.

Usije ukaaminishwa kuwa ni unabii wa kweli na kwamba unatimilika. Big No, it is a planned scenario.
 
Unabii huo hapo juu ulikuwa ni personal will.
Halafu kwa mujibu wa nabii huyo ni kwamba polepole anarudishwa kwa kupangiwa kazi kubwa zaidi.
CCM ukiyatimba hakuna kazi nyingine zaidi ya pingu na kukaguliwa uraia.
Labda upinzani uingie ndipo ateuliwe. Na upinzani sio leo. Na muhubiri kasema soon.
2024 soon yake ni lini?
Nabii yawezekana aliona ila alishindwa kufumbua mafumbo ya Mungu
 
Wabongo sasa 🙌
Imam Hussain ibn Ali aliyeuwawa kikatili kuutetea na kuulinda uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu pichani hapo Chini akimuaga kwa mara ya mwisho kijana wake mpendwa Ali Al-Sajjad ibn Hussain kabla ya umauti. Mama yake Ali Rubab bint Imra akiangalia Kwa huzuni.

Screenshot_2025-07-12-11-16-37-82_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg

adriz Covax
 
Unabii huo hapo juu ulikuwa ni personal will.
Halafu kwa mujibu wa nabii huyo ni kwamba polepole anarudishwa kwa kupangiwa kazi kubwa zaidi.
CCM ukiyatimba hakuna kazi nyingine zaidi ya pingu na kukaguliwa uraia.
Labda upinzani uingie ndipo ateuliwe. Na upinzani sio leo. Na muhubiri kasema soon.
2024 soon yake ni lini?
Nabii yawezekana aliona ila alishindwa kufumbua mafumbo ya Mungu
Natoa unabii Bi Tozo muda wake uliobakia ni kati ya mwaka mmoja na nusu hadi miwlili havuki zaidi ya hapo
 
Wanasiasa huja na kuondoka, lakini wachache huacha alama za kudumu.Ni yeye tupende tusipende kwa maana imeandikwa. Safari yake ina mkono wa Mungu.

Ndiyo maana tunasema yeye ni mpango wa Mungu ni unabii ambao lazima utimie. Yeyote atakaye jaribu kumzuia hatafanikiwa.​
Chakandumuz aisee

Kila anayewafurqhisha ni mpango wa Mungu

Polepole ambaye alikua kinara kwenye mpango mzima wa Mateso chakandumuz leo kawa messiah
 
Hajarudisha kadi ya CCM ujue! Yuko mguu mmoja ndani na mguu mmoja nje anasikilizia.
Samia akishinda Uchaguzi usije kushangaa akija kugalagala kuomba msamaha kwa nini alimkosoa na kuamua kuandika barua ya kujiuzuru.
Sijawahi kumwamini mwanasiasa wa nchi hii.
 
Sasa tuna mipango miwili ya Mungu.
1. Lissu
2. Polepole
Polepole huyu huyu ambae mulimtusi kipindi cha magu leo nae kawa mpango wa mungu kisa kujiuzuru ubalozi? 🤣🤣
Ama kweli kukosa ajenda ni tatizo kwa vyama vya upinzani.
 
Wanasiasa huja na kuondoka, lakini wachache huacha alama za kudumu.Ni yeye tupende tusipende kwa maana imeandikwa. Safari yake ina mkono wa Mungu.

Ndiyo maana tunasema yeye ni mpango wa Mungu ni unabii ambao lazima utimie. Yeyote atakaye jaribu kumzuia hatafanikiwa.​
CHADEMA mnasikitisha sana. Agenda yenu ni ipi?
 
Back
Top Bottom