ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,381
- 4,588
Ni YEYE ??! Na Lissu Je ??!Wanasiasa huja na kuondoka, lakini wachache huacha alama za kudumu.Ni yeye tupende tusipende kwa maana imeandikwa. Safari yake ina mkono wa Mungu.
Ndiyo maana tunasema yeye ni mpango wa Mungu ni unabii ambao lazima utimie. Yeyote atakaye jaribu kumzuia hatafanikiwa.
Au watakuwa pamoja ??!
UMETUCHANGANYA BANDUGU 😳🙄 !
Enewei Ngoja Tusubiri tuone 😅😄🤷🏿♂️ !