Wanasiasa huja na kuondoka, lakini wachache huacha alama za kudumu.Ni yeye tupende tusipende kwa maana imeandikwa. Safari yake ina mkono wa Mungu.
Ndiyo maana tunasema yeye ni mpango wa Mungu ni unabii ambao lazima utimie. Yeyote atakaye jaribu kumzuia hatafanikiwa.
Hii sio akili ya mtu timamu.Wanasiasa huja na kuondoka, lakini wachache huacha alama za kudumu.Ni yeye tupende tusipende kwa maana imeandikwa. Safari yake ina mkono wa Mungu.
Ndiyo maana tunasema yeye ni mpango wa Mungu ni unabii ambao lazima utimie. Yeyote atakaye jaribu kumzuia hatafanikiwa.
Siku zote, wanaosimamia mifumo ya kiutawala (Majasusi) hutengeneza "scenarios" ili kuuaminisha umma. Hutumia watu mbalimbali ama kutoka ndani mwao au nje yao ambao hutumika kusambaza kwa umma wanachotaka kiwe.
Imam Hussain ibn Ali aliyeuwawa kikatili kuutetea na kuulinda uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu pichani hapo Chini akimuaga kwa mara ya mwisho kijana wake mpendwa Ali Al-Sajjad ibn Hussain kabla ya umauti. Mama yake Ali Rubab bint Imra akiangalia Kwa huzuni.Wabongo sasa 🙌
Hawa manabii wa uongo wanatumalizia MB zetu bure tu!
Natoa unabii Bi Tozo muda wake uliobakia ni kati ya mwaka mmoja na nusu hadi miwlili havuki zaidi ya hapoUnabii huo hapo juu ulikuwa ni personal will.
Halafu kwa mujibu wa nabii huyo ni kwamba polepole anarudishwa kwa kupangiwa kazi kubwa zaidi.
CCM ukiyatimba hakuna kazi nyingine zaidi ya pingu na kukaguliwa uraia.
Labda upinzani uingie ndipo ateuliwe. Na upinzani sio leo. Na muhubiri kasema soon.
2024 soon yake ni lini?
Nabii yawezekana aliona ila alishindwa kufumbua mafumbo ya Mungu
Chakandumuz aiseeWanasiasa huja na kuondoka, lakini wachache huacha alama za kudumu.Ni yeye tupende tusipende kwa maana imeandikwa. Safari yake ina mkono wa Mungu.
Ndiyo maana tunasema yeye ni mpango wa Mungu ni unabii ambao lazima utimie. Yeyote atakaye jaribu kumzuia hatafanikiwa.
Polepole huyu huyu ambae mulimtusi kipindi cha magu leo nae kawa mpango wa mungu kisa kujiuzuru ubalozi? 🤣🤣Sasa tuna mipango miwili ya Mungu.
1. Lissu
2. Polepole
CHADEMA mnasikitisha sana. Agenda yenu ni ipi?Wanasiasa huja na kuondoka, lakini wachache huacha alama za kudumu.Ni yeye tupende tusipende kwa maana imeandikwa. Safari yake ina mkono wa Mungu.
Ndiyo maana tunasema yeye ni mpango wa Mungu ni unabii ambao lazima utimie. Yeyote atakaye jaribu kumzuia hatafanikiwa.
Nabii tapeli ambaye kabla hata ya kuongea katanguliza account number yake ya NMB.
WTFImam Hussain ibn Ali aliyeuwawa kikatili kuutetea na kuulinda uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu pichani hapo Chini akimuaga kwa mara ya mwisho kijana wake mpendwa Ali Al-Sajjad ibn Hussain kabla ya umauti. Mama yake Ali Rubab bint Imra akiangalia Kwa huzuni.
View attachment 3406310
adriz Covax