Humphrey Polepole ni mpango wa Mungu. Ni unabii ambao ni lazima utimie

Ni YEYE ??! Na Lissu Je ??!
Au watakuwa pamoja ??!
UMETUCHANGANYA BANDUGU πŸ˜³πŸ™„ !
Enewei Ngoja Tusubiri tuone πŸ˜…πŸ˜„πŸ€·πŸΏβ€β™‚οΈ !
 
KAbisa
 
Kwa hiyo sasa hivi kimegeuka tena sio Lisu ndio mpango wa Mungu?

Ngoja tusubiri. Ila hapa naona hesabu za chama tawala zimepigwa vizuri. Mara paap uchaguzi umeisha Polepole anaendelea kula mema ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…