hata mimi nina mashaka anafanya biashara. kama anataka aandikishe chama cha siasa sio kuendelea kupambana na bmk. ukiwa tume ukishakabidhi sio wajibu wako kushinikiza kukubaliwa maoni yako.Huyu polepole anatumiwa na mataifa ya nje kishamaliza kazi yake ya rasimu apumzike.dawa yake inakuja:
UKAWA kutoka nje ya Bunge ni sahihi sana kwa anayefahamu ubabaishaji unaondelea kwa sasa. Ukweli ni kwamba taratibu zimevurugwa sana kiasi kwamba vifungu muhimu vimebadilishwa au kupitishwa vifungu kwa wingi was wajumbe si HOJA. Sote tafahamu wajumbe walio wengi Hawako Objective na wengi hawajui hata rasimu inazungumzia nini!
akili za makada wa ccm hizi.tuamusheni tu tukiamuka nchi hii itakuwa ndogo.Huyu ni wa kupelekwa mabwepande ,ni hatari kwa taifa.
akili za makada wa ccm hizi.tuamusheni tu tukiamuka nchi hii itakuwa ndogo.
uwezo mdogo wa kufikiri huu.mwanachadema c mtanzania siyo?Nani asiye mjua polepole kuwa ni mwana chadema?msaliti analeta uchochezi ni mnafiki
go ahead.nchi hii ni Ya ccmLazima tumngoe kucha.
Kama kumbukumbu zako ziko sawa,basi alikuwa "black"
POLEPOLE ni mzalendo mpya anayeng'a hakika mungu awe nawe daima
Nakumbuka lebo za Azania zilikua za rangi mbili tu. Group moja ilikua Red na group lingine ni blue. Zilokuwa zikigongewa chumba cha fine art pale juu karibu na 'Lake Azania'. Au rangi zilibadirishwa baadae. Nilikuwepo wakati wa Kisamo na Kwayu pia.
humphrey polepole ni zaidi ya wabunge wote wa chadema ... Ukimtoa tundu lissu.
mie mwenyewe nashangaa kina Mwesiga baregu kukaa kimya