Humphrey Polepole ni nani?

Humphrey Polepole ni nani?

Humphrey Polepole ni zaidi ya wabunge wote wa CHADEMA ... ukimtoa Tundu Lissu.
Ajabu yupo ndani ya nyumba chafu kisha anajiona msafi.Nibora awe mwanaharakati wa kutetea wanyonge akiwa "NJE YA CHAMA CHOCHOTE CHA SIASA".Hili litamfanya azidi kunawiri yeye mwenyewe kiutendaji na ndani ya mioyo ya watanzania atakua kama lulu,bali akiwa ndani ya mfumo fulani hawezi kua huru kama anavyo tuaminisha.Binafsi namkubali sana katika kujenga hoja na kuzisimamia
 
Hivi Humphrey mzima kweli. Maana body language yake inanitatiza kwa sana. Laini nyororooooo
 
Mi huwa simwelewe maana anaongea bila kujua tanzani nzima wanamfatilia nahis anatatizo binafsi.
 
Tafadhali mwenye CV ya huyu kijana mwanacc mwanaharakati machachari ambaye kwa sasa amepewa nafasi ya kuiongoza serikali ya Wilaya ya Musoma mkoani Mara atuwekee tumfahamu historia yake ili tuone anawafundisha nini wengine.

Alionekana akijipambanua sana kuwa yeye ni mtu safi na aliwahi kusema ukuu wa wilaya hauna tija kwa taifa na kupigania cheo hicho kiondolewe kwenye katiba lakini yeye leo cheo hicho kinampatia kula.

Natambua kuwa na shahada ya maendeleo ya jamii alikua anahangaikia ya pili sijui ameshamsliza au laa.
 
Mkono mtupu haulambwi!!! Ndg Judi wa Kishua tafadhali tuonyeshe ukubwa wa elimu yake kwa kuweka CV yake iliyoombwa ili usemi wako uaminike mbele ya wana JF.
Kumbuka jibu liksadifu swali mambo huwa shwari.
 
Tafadhali mwenye CV ya huyu kijana mwanacc mwanaharakati machachari ambaye kwa sasa emepewa nafasi ya kuiongoza serikali ya Wilaya ya Musom mkoani Mara atuwekee timfahamu historia yake ili tuone anawafundisha nini wengine.

Alioneka akijipambanua sana kua yeye ni mtu safi na aliwahi kusema ukuu wa wilaya hauna tija kwa taifa na kupigania cheo hicho kiondolewe kwenye katiba lakini yeye leo cheo hicho kinampatia kula.

Natambua kua ana shahada ya maendeleo ya jamii alikua anahangaikia ya pili sijui ameshamsliza au laa.
Mchumia tumbo tu huyo, ni wale wale, mbele kwa mbele tu.
Nothing new utaona kama ajafyata mkia, kwisha habari ya njaa tena
 
Mchumia tumbo tu huyo, ni wale wale, mbele kwa mbele tu.
Nothing new utaona kama ajafyata mkia, kwisha habari ya njaa tena
Nataka kujua kama kichwa chake kina kitu kidogo maana leo ni kama ameshayaasi maneno yake.
 
Tafadhali mwenye CV ya huyu kijana mwanacc mwanaharakati machachari ambaye kwa sasa emepewa nafasi ya kuiongoza serikali ya Wilaya ya Musom mkoani Mara atuwekee timfahamu historia yake ili tuone anawafundisha nini wengine.

Alioneka akijipambanua sana kua yeye ni mtu safi na aliwahi kusema ukuu wa wilaya hauna tija kwa taifa na kupigania cheo hicho kiondolewe kwenye katiba lakini yeye leo cheo hicho kinampatia kula.

Natambua kua ana shahada ya maendeleo ya jamii alikua anahangaikia ya pili sijui ameshamsliza au laa.
CV YA JINIAS WA UKAWA KAMANDA MBOWE
=========================================
============================================
Cv ya freeman mbowe hii hapa
Member of Parliament CV

GENERAL
Salutation
Honourable Member picture
1260.jpg

First Name: Freeman
Middle Name: Aikaeli
Last Name: Mbowe
Member Type: Constituency Member
Constituent: Hai
Political Party: CHADEMA
Office Location: P.O. Box 3070, Moshi
Office Phone:
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: fmbowe@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth
EDUCATION
School Name/Location
Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Secondary School Secondary Education - - HIGH SCHOOL
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name
Position From Date To Date
Bank of Tanzania Bank Officer -
 
Yule dogo ni kichwa maji. Na hatuwezi kumuita msomi kwasababu kitu alicho kikataa na kukiona kibaya. wakampa kwa kumjaribisha kama anaakili Na akakichukua.
Bro me mpaka nw kila kitu nishaona chawezekana..kwa dissapointment nliopata baada ya Chadema kumpokea waliyemuita papa wa Ufisadi Lowasa..na kuzunguka Tz nzima kututangazia hilo alaf wao wakampokea kama ndo mwokozi wao..sitaki ata jiumiza nafsi kwa lingine lolote maana picha picha za kisiasa hazitakaa ziishe..kila mmoja anaangalia ulaji wake tu
 
mtoa mada ungeanza na CV yko ingekua poa sana
maana ulaya na China watu wa rika yko wako busy kubuni miundombinu ya maendeleo we upo busy unatafta CV ya pole pole
 
Tafadhali mwenye CV ya huyu kijana mwanacc mwanaharakati machachari ambaye kwa sasa emepewa nafasi ya kuiongoza serikali ya Wilaya ya Musom mkoani Mara atuwekee timfahamu historia yake ili tuone anawafundisha nini wengine.

Alioneka akijipambanua sana kua yeye ni mtu safi na aliwahi kusema ukuu wa wilaya hauna tija kwa taifa na kupigania cheo hicho kiondolewe kwenye katiba lakini yeye leo cheo hicho kinampatia kula.

Natambua kua ana shahada ya maendeleo ya jamii alikua anahangaikia ya pili sijui ameshamsliza au laa.

Alipata div 0 form 6,benjamin william mkapa high school
 
Back
Top Bottom