Humphrey Polepole ni nani?

Humphrey Polepole ni nani?

Huyu ana digrii ya nini?

Unayependa kusononeka si usononeke kuwa chini ya huyu jamaa yetu?

16711977_10206681252908262_8080622556719525945_n.jpg
 
"Kwakweli CCM kwa msemeo wa wengi yetu inachechemea, yaani kila wanapoteua wasemaji wake ni form six failure! huyu jamaa wa sasa nae ni form 6 failure, mtangulizi wake nae alikua form 6 failure, sasa kusema kua chama chetu kinaendeshwa na intellectuals tunamaanisha nini? Hii hapana kwakweli"
Haya yalikua na maneno ya mwanaccm kindakindaki aliekua akisononeka akionekana mnyonge kabisa aliyeikosa amani ndani ya chama chake.
!

Unajaribu kupindisha mada. Mahanga (mzee wa kura za hotpot) na Lowassa ndio wasemaji wa CHADEMA?
 
"Kwakweli CCM kwa msemeo wa wengi yetu inachechemea, yaani kila wanapoteua wasemaji wake ni form six failure! huyu jamaa wa sasa nae ni form 6 failure, mtangulizi wake nae alikua form 6 failure, sasa kusema kua chama chetu kinaendeshwa na intellectuals tunamaanisha nini? Hii hapana kwakweli"
Haya yalikua na maneno ya mwanaccm kindakindaki aliekua akisononeka akionekana mnyonge kabisa aliyeikosa amani ndani ya chama chake.

Ahaah, kumbe tulipokua tunajiuliza huyu alipokua akipondea nafasi za wakuu wa mikoa na wilaya lakini baada ya kuteuliwa akawa wa kwanza kuripoti kazini. Hivi tunajenga vijana aina ya mwalimu nyerere wansozungumzia misingi ya ujamaa kuwatolea hawa kama mifano kweli?

CCM mna bahati mbaya sana! Utafikiri hakuna intellectuals kwenye chama kubwa kama lenu!
Unatuletea mambo ya gwajima.weka cheti chake
Halafu hata kama ni kweli failure,yule ni msemaji tu kuliko wewe mnywekiti wako hakufanya mtihani wa form four na form 6 ni zero,anaburuza maprofessor
 
Kudiscus Maswala ya Elimu Kwa Baadhi Ya Viongoz Huku Bado wapo Madarakan Wanakula Tuu pesa Ni Upuuzi
 
Mi hili jukwaa linanishinda sana bora nibaki MMU na kwa wakubwa tuu
 
"Kwakweli CCM kwa msemeo wa wengi yetu inachechemea, yaani kila wanapoteua wasemaji wake ni form six failure! huyu jamaa wa sasa nae ni form 6 failure, mtangulizi wake nae alikua form 6 failure, sasa kusema kua chama chetu kinaendeshwa na intellectuals tunamaanisha nini? Hii hapana kwakweli"
Haya yalikua na maneno ya mwanaccm kindakindaki aliekua akisononeka akionekana mnyonge kabisa aliyeikosa amani ndani ya chama chake.

Ahaah, kumbe tulipokua tunajiuliza huyu alipokua akipondea nafasi za wakuu wa mikoa na wilaya lakini baada ya kuteuliwa akawa wa kwanza kuripoti kazini. Hivi tunajenga vijana aina ya mwalimu nyerere wansozungumzia misingi ya ujamaa kuwatolea hawa kama mifano kweli?

CCM mna bahati mbaya sana! Utafikiri hakuna intellectuals kwenye chama kubwa kama lenu!

Kila mara nilikuwa nasema hapa jamaa alipata zero kidato cha sita
 
Back
Top Bottom